Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Kuna ile iliyokaa kama mkaa, ukitaka kujua kama ni real unaiweka kwenye ulimi, inaganda kama sumaku, mpaka uigandue
Lile aina fulani ya jiwe, na likitumika likiisha nguvu, linachemsha, lichaji tena.
 
Ni kweli mkuu kuna tiba ya asili ya mtu alieng'atwa na kifutu. Ni nzuri haupati ulemavu kama utaipata kwa wakati.

Baba yangu mzazi aling'atwa na kifutu na kupona bila alama yeyote.

Lakini nimeona watu kadhaa waliopata ulemavu sababu ya kifutu. Ni kama mdau mmoja hapo juu alisema uking'atwa na kifutu ukichelewa kidogo tu tiba sahihi unaanza kuoza. Na hatari niliyo iona kuna mzee amelemaa hadi mfupa, yaani mguu umejikunja kabisa mahali alipong'atwa na kuwa mdogo kama ulemavu wa polio
Mm nilipona na sina ulemavu niliumwa shuleni igunga. Sema niliwaishwa nkinga dokta wa shuleni akipomuona nyoka akasema huyu akilala hapa kesho hamumkuti hai
 
Katika uzi ambazo nimezisoma na kuzifuatilia kwa ukaribu zaidi ni huu uzi, ila kuna kitu ambacho naona wadau wote hakuna mtu alietoa tahadhari kwa kina incase ukila bite ya koboko ufanye vp kusurvive kwa huo md mfupi kabla hujafika hospitali?..
Vile vile nauliz koboko aliyekomaa anaweza kua na unene wa msitimu/ nguzo ya umeme?, na urefu wake maximum ni meter ngapi??.
Nimejaribu kufuatilia zaidi kumbe kuna nyoka mwenye sumu zaidi ya koboko anapatika hasa Australia ila mostly anaishi baharini.
Unene sio km nguzo huyo ni chatu. Koboko kawaida ni mita 12 mkp 14 aliekomaa. Ukipigwa bite nikusubiri kufa tu baada ya 20 mpk 30
 
Ila nilicho confirm kwenye pitapita yangu ni kwamba koboko/black mamba is most fastest snake in the planet of earth
Yaah hujakosea ni the most longest, fastest and deadliest animal in africa
 
Unajua kilichowashangaza watu ni kuwa huyu nyoka ni wakufugwa na huwa wanajua saa ngapi ana njaa ndio wanamuwekea msosi kwa mshangao wao badala ya kumla akamfanya rafiki ilibidi baadae wautoe msosi huo wakauleta mwingine ukaliwa.
Una fix kweli
 
Halafu unakuta kuna watu wana amini kuwa koboko anagonga kichwa tu na sio kwingine.
Ndio maana ukawasikia wanasema tembea na chungu cha uji wa moto
Sasa kwa siku hizi naona wangejiongeza tu wavae helmets kila saa
Helmet haitamdhuru na lengo ni nae adhurike
 
Wakuu lile jiwe la kutolea sumu vipi?

Yalikuwa yanatengenezewa wapi?
Ni madini gani yale?
 
Wakuu lile jiwe la kutolea sumu vipi?

Yalikuwa yanatengenezewa wapi?
Ni madini gani yale?
Hakuna ushahidi wa kisayansi unao onyesha kuwa huwa linanyonya sumu,sumu ikishaingia kwenye damu inachanganyika na damu,ili uinyonye itabidi unyonye damu.
 
Koboko ni level nyingine kabisaa yaani sio simba,chui,chatu, cobra wote unawajua wewe ni wachumba mbele ya koboko.

Simba au chui mkiwa watu wawili au watatu mmeshika mawe au mna silaha za jadi simba mwenyewe anakimbia mkimbia lakini sio koboko.....

Yaani hata muwe watu 100 na mna silaha za moto na mabomu ya machozi mbele ya koboko ni sawa mnajisumbuaaa buree kwa sababu ana uwezo wa kupambana na jeshi zaidi ya miaa na akawauwa watu woteee na hakuna atayebakia salama

Kwa kifupi tuu koboko ni jeshi la mtu mmoja
Komando
 
UPUMBAVU WA WATU NI HUU
YAANI INAONEKANA KOBOKO NDIO BABA LAO DUNIANI KOTE SASA HAKUNA LA ZAIDI
MIMI BORA NIKUTANE NA KOBOKO KULIKO POLISI FULANI WA MITAA FULANI

UKITAKA KUAMINI KAULI YANGU UTAISHIA KUSIKIA MASIMULIZI TU LAKINI KUJA KUPATA WATU WALIOULIWA NA KOBOKO BASI YAWEZA KUWA NI WATU WAIWIL AU MMOJA NAO UNASIMULIWA TU HATA MAKABULI YAO HAYAPO.

AMBAO WANAELIMU ZA NYOKA NAIMANI KABISA HAKUNA NYOKA AMBAYE NI TISHIO
MFANO KWA FACT(Nyuki ni hatari sana kama usipomjua alivyo lakini tunaowajua nyuki unalina asali hata pasipo moto na mchana wa jua kali kabisa)

Uzembe mkubwa tulionao nikujazana hofu namna hii ndio maana tunakufa sana kwa vitu vidogo ambavyo kiuhalisia hakuna hata ambavyo ungeweza kupona
ila ushakalili koboko hatari hatari hatari Pumbaaaaaaafu.😀😀😀😀

huyo koboko bora nikutane naye kuliko mfalme juha maana kinachokupata ha ha ha ha aha ha mie simooooooo
 
Back
Top Bottom