Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Yeah, naweza hata kukupeleka kwake. Pia nakupeleka kwa huyo aliyegongwa na koboko ashuhudie mwenyewe aliyemtibu. Wote wapo hadi leo hii!
Huyo jamaa aliyegongwa ilimchukua muda gani kufika kwa mganga?..huyo mganga ni tunu aisse..
 
Wana bahati
Labda alikuwa mgonjwa huyo maana sio kwa ukubwa huo
Anatisha
Story inasema huyo koboko alishawagonga wenzao wawili na kuwauwa,kwa sababu hawa jamaa walikuwa wa ni wajenzi wa daraja dogo huko kwenye mapori ya Msumbiji.
 
Duuuuu mlikua mnacheza na kifo nje nje asee
 
Alijificha kwenye mashine ilyokuwa inavuja Hydroulic akawa kama anawashwa wakamtaimu na mafito.
Daah jamaa wanabahati sana. Yaani aliwaogopa mpk kujificha maana hilo dudu bna halikubaligi kushindwa
 
Daah jamaa wanabahati sana. Yaani aliwaogopa mpk kujificha maana hilo dudu bna halikubaligi kushindwa
Hapo ni mbili moja Koboko keshawagonga wawili na wamefia njiani hispitali hawajafika.
 
Naomba kumjua
 
Alikuwa anaitwa Steve Irwin alizaliwa mwaka 1962 Australia na alikuwa ni zoo keeper akijulikana kama Crocodile hunter
Alikuwa anajiamini na amekamata na kuchezea kila aina ya wanyama
Alikuja mpaka Africa na kukimbizana na Mamba na hata Viboko.
Ni mchekeshaji mzuri akiwa yuko kazini
Sadly Alikufa Mwaka 2006 huko Australia akiwa akimshika Taa na kurekodiwa katika moja ya vipindi vyake ndipo Taa akamchoma kifuani ( kwenye moyo) na haikuchukuwa muda akafa

Hapo akiwa na mke wake na nyoka mwenye sumu kali sana huko Australia
Cc mtu asiyejulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…