Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu kuna mganga yupo kanda ya ziwa huwatumiaNimewahi kusikia hivi huwa ni kweli?!
Wafe tu kwa kweli.Inawezekanaje nyoka akafa kwa sumu yake mwenyewe?!!mimi hapa ndipo ninapoishiwa nguvu.
Sasa kwani si venom inatendenezwa na cell maalum ambazo zipo sehemu maalum ikitoka ikienda kwingine lazima iwe na effect .. Ni sawa na HCL acid ya tumboni ukiiweka mdomoni lazima ikuharibuInawezekanaje nyoka akafa kwa sumu yake mwenyewe?!!mimi hapa ndipo ninapoishiwa nguvu.
Tofauti usiyoelewa kuwa hospital ni sayansi na sayansi ina miiko yake lazima kitu kiwe proved practical, na hospital uzingatia sana side effects za chemical wanazotaka kuitumia eidha kwa degree fulani inapendekezwa kutokuwa na madhara tofauti na tiba asili mara nyingi hakuna mambo ya side effects unaweza kutibu kichwa ila baada ya miaka kadhaa utajikuta unahitaji kutibu figo kutokana na uncontrolled ratio za zile mitishambaHapa nakataa mbona dawa kibao mfano zawamasai zinatutibu nahospital hazipo! hiz hospital zetu bila maelezo yakizungu hawakubali yan wao wanataka dawa ipitishwe na WHO
Hahaha pambanaView attachment 782852
Daah! kama ni hivi tutaishia jela.
Kumbe wana meno!View attachment 783016
Sawaka kavuka fensi kamkuta mlinzi kalewa kalala akammeza saa ya kutoka kapigwa shoti kwenye fensi kafia hapo hapo na mlo wake tumboni asubuhi wanakuja watu wanafurahi kuona sawaka kafa lakini mlinzi haonekani
South Sudan.
Kumbe wana meno!View attachment 783016
Sawaka kavuka fensi kamkuta mlinzi kalewa kalala akammeza saa ya kutoka kapigwa shoti kwenye fensi kafia hapo hapo na mlo wake tumboni asubuhi wanakuja watu wanafurahi kuona sawaka kafa lakini mlinzi haonekani
South Sudan.
Hii niliishuhudia Dar.. Lakini ilikua nyoka hawa wadogo..Huyu nyoka dawa yake ipo,
Kuna wazee hapo tabora anaweza kukutibu wewe kwa kutumia Mimi, yaani Mimi ndo naenda kutibiwa badala yako wewe ulieumwa na huyu nyoka,
Ni ngumu kuelewa lakini ndo ukweli huo.
ChatuKuna wale nyoka wanaonukia harufu ya wali, sijui wanaitwaje.
kujishaua ndio nini mazee??View attachment 782667
Koboko mwenyewe mdoogo lakini kwa kujishaua,piga mikwara bila sababu.
Duu kweli mambo nimoto hii inaitwa mama mkanye mwanaoWewe ni mpuuzi sana. Narudia tena ni mpuuzi na mpumbavu wa kutupwa...huna cha kunifanya na mikwara yako ya kijinga. Pumbavu sana huna jipya unamtisha nani au wewe unanifaham mimi?,OK sijapokea onyo lako fanya lolote ****** wewe
achana na huyo choko learn to get rid of distractions before they get so serious on you.Jf on mejiunga kitambo aiseee toka 2011 wewe umejiunga 2017 halafu unaniambia eti nimrjiunga juzi. Dah nmegundua naongea na chizi aiseeee nakupuuza kwa kuwa ni mpuuzi kumbe.
acha wogaWafe tu kwa kweli.
Unaweza kumwendea kichwakichwa ukazan kobra mtema mate kumbe mhuni kobokoView attachment 782848
Koboko akikasirika huwa anapanua shingo yake kama Cobra,ila Koboko yeye huwa ni dishi dogo.
sawaka ndio python sio?View attachment 783016
Sawaka kavuka fensi kamkuta mlinzi kalewa kalala akammeza saa ya kutoka kapigwa shoti kwenye fensi kafia hapo hapo na mlo wake tumboni asubuhi wanakuja watu wanafurahi kuona sawaka kafa lakini mlinzi haonekani
South Sudan.
Tena meno yao ni mengi halafu marefu kibaya zaidi yameangalia ndani ina maana huyu nyoka akikung'ata no chance lazima uingie mdomoni.Kumbe wana meno!
Na ukila bite ndio imekula kwako.Unaweza kumwendea kichwakichwa ukazan kobra mtema mate kumbe mhuni koboko