Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

African-rock-python-.jpg

Sawaka au Chatu sisi pia tumo kwenye menu.
 
440485657_ba4361b58d.jpg

Sawaka kavuka fensi kamkuta mlinzi kalewa kalala akammeza saa ya kutoka kapigwa shoti kwenye fensi kafia hapo hapo na mlo wake tumboni asubuhi wanakuja watu wanafurahi kuona sawaka kafa lakini mlinzi haonekani
South Sudan.
 
Inawezekanaje nyoka akafa kwa sumu yake mwenyewe?!!mimi hapa ndipo ninapoishiwa nguvu.
Sasa kwani si venom inatendenezwa na cell maalum ambazo zipo sehemu maalum ikitoka ikienda kwingine lazima iwe na effect .. Ni sawa na HCL acid ya tumboni ukiiweka mdomoni lazima ikuharibu
 
Hapa nakataa mbona dawa kibao mfano zawamasai zinatutibu nahospital hazipo! hiz hospital zetu bila maelezo yakizungu hawakubali yan wao wanataka dawa ipitishwe na WHO
Tofauti usiyoelewa kuwa hospital ni sayansi na sayansi ina miiko yake lazima kitu kiwe proved practical, na hospital uzingatia sana side effects za chemical wanazotaka kuitumia eidha kwa degree fulani inapendekezwa kutokuwa na madhara tofauti na tiba asili mara nyingi hakuna mambo ya side effects unaweza kutibu kichwa ila baada ya miaka kadhaa utajikuta unahitaji kutibu figo kutokana na uncontrolled ratio za zile mitishamba
 
Huyu nyoka dawa yake ipo,


Kuna wazee hapo tabora anaweza kukutibu wewe kwa kutumia Mimi, yaani Mimi ndo naenda kutibiwa badala yako wewe ulieumwa na huyu nyoka,


Ni ngumu kuelewa lakini ndo ukweli huo.
Hii niliishuhudia Dar.. Lakini ilikua nyoka hawa wadogo..

Jamaa aling'atwa akaenda kwa mzee mmoja..akatibiwa yeye akapona alieko home..

Hii teknolojia sidhani alirithisha hata wanawe..
 
Wewe ni mpuuzi sana. Narudia tena ni mpuuzi na mpumbavu wa kutupwa...huna cha kunifanya na mikwara yako ya kijinga. Pumbavu sana huna jipya unamtisha nani au wewe unanifaham mimi?,OK sijapokea onyo lako fanya lolote ****** wewe
Duu kweli mambo nimoto hii inaitwa mama mkanye mwanao
 
Back
Top Bottom