Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi hii ni kweli au?Koboko aliekomaa akienda kunywa maji mtoni wakati wa kiangazi viboko na mamba huwa wanampisha.
Tembo na Nyati huwa wanakimbia.
Tena koboko miti anayopenda ni ile yenye tundu katikati,kumshambulia inakuwa vigumu sana na ukithubutu kusogea umekwisha.wanashinda kulian
Hahahaa kweli hana maanaKoboko alishawahi kukimbiza basi lililojaa abiria kutoka Urambo mpaka karibu na Mboka.
HahahaaHahahaa kweli hana maana
Coaster moja na nusu???Mkuu huyo Koboko alikuwa amekomaa na urefu wa Coaster moja na nusu.
Kama kifutu ambaye anajulikana kuwa mfupi lakini akikomaa anafikia ft6.inch6 hebu fikiria Koboko ambaye ndie anayejulikana kwa urefu.Coaster moja na nusu???
Mkuu huo urefu ni too much duh
Duu huyu akikupiga bite sio tu unaoza ila unatoa funza kabisa nakupona hakunaKama kifutu ambaye anajulikana kuwa mfupi lakini akikomaa anafikia ft6.inch6 hebu fikiria Koboko ambaye ndie anayejulikana kwa urefu.
View attachment 789056
Mbali na kuoza pia anaweza kukuvunja mguu kwenye process ya kukung'ataDuu huyu akikupiga bite sio tu unaoza ila unatoa funza kabisa nakupona hakuna
Hahahah aisee huyu anakuvunja kwel mguu tena ukiwa namfupa lain kwenye zoez lakung'atwa anaweza akaukata kabisaMbali na kuoza pia anaweza kukuvunja mguu kwenye process ya kukung'ata
Wataalam wanasema alikuwa na miaka 20+Hahahah aisee huyu anakuvunja kwel mguu tena ukiwa namfupa lain kwenye zoez lakung'atwa anaweza akaukata kabisa
Kuna sehemu nipo huku mkoani Tabora sehemu nilikuwa nimekaa nikasikia watu wakimsimulia nyoka aina ya koboko ambaye inasemekana anapatikana Tabora ,Shinyanga,Singida na Kigoma.
Kuna mtu mmoja katika mazungumzo yake alikuwa akisema ni bora ukutane na simba au chui unaweza ukapona kuliko koboko. Nilipojaribu kumuuliza alisema hayupo tayari kumuongelea kiundani wala kumtaja kwasababu ukiwa ndani ya mkoa wa Tabora au Shinyanga ni marufuku kumtaja huyu nyoka jinsi alivyoniambia.
Sasa kwa wale wanaomfahamu hebu tuelezeeeni kwanini koboko anaogopeka kuliko simba au chui?
-----
Pia soma...
huyu mbona Kama python vileKama kifutu ambaye anajulikana kuwa mfupi lakini akikomaa anafikia ft6.inch6 hebu fikiria Koboko ambaye ndie anayejulikana kwa urefu.
View attachment 789056
Huyu vipers ndo yupiHABARI,
"MSELA WA MANZESE,
Swali ni zuri mimi ninachokijua kikubwa ni kwamba huyu nyoka hapendi bugudha akiwa kwenye eneo lake mfano uko kwenye mti wa mchungwa unachuma machungwa yeye akiwa upande wa pili akihisi kuna mtu analeta vurugu kwenye eneo hilo yeye huwa akimbii bali anakuja kukugonga na nyoka wengi huwa wakigonga wanakimbia yeye anabaki hapo hapo kama unaweweseka anagonga tena hata mara 30 mpaka ufe tofauti na cobra yeye akigonga hukimbia ukiwakaribu yake yeye kakuona wewe hujamuona anakimbia,Pia anaweza kusimama kimochako mbeleyako kama ukikutana nae na ukisimama naye anasimama anakuangalia ukitikisika tu au kukimbia anagonga.
AINA
Mpaka sasa ziko aina 4 za hawa mamba snake.
1.Black mamba=Wanapatikana zana Africa kusini-kati-mashariki
2.Eastern green mamba=Wanapatikana sana Nchi chache Africa-kusini-kati na magharibi
3.Jameson's mamba=Wanapatikana Nchi chache za Africa kati-mashariki-magharibi
4.WesternGreen mamba=Wanapatikana Aafrica Magharibi
SUMU
Black mamba yuko namba 5-7 kwenye orodha ya nyoka wenye sumu kutokana na tafiti kunawatu wanatofautiana ila yuko kwenye namba hizo.
Hii ni orodha ya nyoka kumi wenye sumu duniani
1.Fierce Snake or Inland Taipan
2.Eastern Brown Snake
3.Blue Krait
4.Taipan
5.Black Mamba
6.Tiger Snake
7.Philippine Cobra
8.Vipers
9.Death Adder
10.Rattlesnake
LUMUMBA
Angalia mkiani utaona chekeche.huyu mbona Kama python vile