Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Najuta kusoma hii thread jana usiku, kwanza nimelala naota nyoka nimepiga kelele usiku mzima. Mpaka nimemuota mtesi wangu kaniletea nyoka kitandani huku namuona, sijawahi lala kwa shida kama leo.
Mwenzio mmoja kapiga kelele usiku sshv anaona aibu kutoka nje kisa USB cable alipo kua anajigeuza akailalia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu wana vituko sana
 
Mwenzio mmoja kapiga kelele usiku sshv anaona aibu kutoka nje kisa USB cable alipo kua anajigeuza akailalia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu wana vituko sana
Acha tuu hawa viumbe sio kabisa, mwenyewe kuna muda nimepiga kelele kwa nguvu mpaka nimestuka najijua nimepiga kelele.
Mimi hata shuka ilikuwa ikipepea tuu na feni ikanigusa nastuka usingizi unakata.
 
Nat geo wild huwa wanaonesha wale wazungu mke na mume huko SA, jamaa professionals wanapigiwa simu kwenda kutoa nyoka kwenye nyumba za watu, na wanaelezea kuhusu hao nyoka,,,afu wanawaeka kwenye kifurushi wala hawaui wanaondoka nao.Jamaa hawaogopi black mamba wala python wanaingia ndani na sometimes chumba alichokuwepo huyo nyoka ni giza,wazungu[emoji1373]
 
Duh!...
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwenda zako ungekuwa wewe ungeweza peke yako kuua na hujui kaingilia kona gani
Sifa moja wapo ya uanaume nikuwa jasiri sasa hapo kajoka kameingia ndani unakimbilia kwenu
Asume ndio upo na familia yako utaihamishia kwa mzee ??
Ulitakiwa upambane kiume na kutafuta mbinu za kumtoa huyo nyoka humo ndani
Wanasema ukichoma mpira nyoka anakimbia
mwanaume kukimbia matatizo huo ni umama🤣🤣🤣
 

Khaaa wew uwanaume wangu upo pale pale [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miezi michache iliyopita kuna mtu alimgonga na pikipiki. Akafanikiwa kukimbia ila pikipiki akaiacha hapo.
Baada ya mda akafanya kosa kuifata pikipiki. Tulikula ubwabwa
 
Wakuu msaada kwenye tuta kila nikipost wananiandikia hivyo na sijui solution ni nini msaada
 

Attachments

  • IMG_8778.jpg
    14.3 KB · Views: 13
  • IMG_8777.jpg
    24.3 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…