Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Utofauti wa huyu nyoka na wengine, iwe awe wa kijani, au kijivu, usisubiri mpaka uone kinywa chake kua cheusi ndio u baini kua ni huyu jinamizi, utakua umesha chelewa! Angalia size ya kichwa chake, hawa ambao sio black_mamba hua na kichwa chenye shape ya " U " kama cha mjusi alivyo ila huyu jini kichwa chake hua kama 4Angle ( kile kiatu cha shule pale mbele ) foengo
So dumisha umakini na utulivu popote unapo kutana na nyoka! Usithubutu kumuacha nyoka hai kama mmesha anza pambano
 
Huwa mnatia chumvi sana!

Kuna yule jamaa kwenye kipindi cha snake in the city kwenye chanel ya wanyama huwa anawakamata kwa mkono tu

Ni kweli ni kiumbe hatari lkin yeye mwenyewe akikuona huwa anajificha ili kuokoa uhai wake
Huyo Simons mwenyewe akiitwa kukamata koboko,mwenyewe husema lazima moyo udunde japo kakamata wengi,na baridi ya south ndiyo inawatiliza,anasema kipindi Cha joto huwa wanakuwa wakali,lakini yeye huwa na dawa/anti venom anapokua site,japo no kweli kwamba koboko si mkorofi,labda ukute alibughudhiwa na watu kabla,hapo haulizi...ni jino tu
 
Miamba miwili kwenye ubora wao

Mwamba aliangaika nae ilikua ni vita
JamiiForums836978653.jpg
JamiiForums-1989881241.jpg
JamiiForums-2114336478.jpg
JamiiForums-852534334.jpg
JamiiForums884534195.jpg
 
Utofauti wa huyu nyoka na wengine, iwe awe wa kijani, au kijivu, usisubiri mpaka uone kinywa chake kua cheusi ndio u baini kua ni huyu jinamizi, utakua umesha chelewa! Angalia size ya kichwa chake, hawa ambao sio black_mamba hua na kichwa chenye shape ya U kama cha mjusi alivyo ila huyu jini kichwa chake hua kama 4Angle ( kile kiatu cha shule pale mbele ) foengo
So dumisha umakini na utulivu popote unapo kutana na nyoka! Usithubutu kumuacha nyoka hai kama mmesha anza pambano
True pia mdomo wake ni mrefu, kama anatabasamu hivi. They say he gives a "kiss of death"
Screenshot_20230129-063855.jpg
 
Huyu nyoka anapewa sifa zilizopitiliza ni mkali ila ukimvizia una mkamata mzima mzma , nilishafanya hivyo .
Huyu mpaka umvizie inakubidi uwe mwana mazingaombwe! Hawa majini yana sensor nyingi kuliko zilizopo kwenye subaru na zina cover radius kubwa labda ulimkuta kashiba sana au lah, ulimkuta yule mwingine mwenye kichwa kama cha mjusi, huyu na kobra wapo very flexible an manuvable kwenye matukio yao
 
Back
Top Bottom