Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Jipange tu.
Mbali na Chatu, Nyoka yyt haui mtu kwa kumvizia. Hufanya hivyo km self defense.
Kaa mbali na vichaka na kukaa chini ya miti.
Epuka kutembea peke yako na mara zote tembea na Jiwe la sumu ya Nyoka kamba na Wembe mpya just incase ukigongwa na nyoka hii itaokoa maisha yako.

Hizi ni techniques tulizikuta kwa wenyeji huko porini na zinatumika mpaka leo.

Mkuu unataka kitajirika Fasta?😂

Mkuu kilimo kimenishinda nataka kujaribu madini kule Msata, Kwedikwazu na Segera ila hizo sehemu zote nasikia majoka kama hayo yamejaa
 
Jipange tu.
Mbali na Chatu, Nyoka yyt haui mtu kwa kumvizia. Hufanya hivyo km self defense.
Kaa mbali na vichaka na kukaa chini ya miti.
Epuka kutembea peke yako na mara zote tembea na Jiwe la sumu ya Nyoka kamba na Wembe mpya just incase ukigongwa na nyoka hii itaokoa maisha yako.

Hizi ni techniques tulizikuta kwa wenyeji huko porini na zinatumika mpaka leo.

Mkuu unataka kitajirika Fasta?

Da Amina kumbe unapenda kupandwa na nyoka eeeh:becky::becky:.
 
Duu sijui nini kimenifanya kuivamia hii thread, nyoka kwangu mimi ni tishio kubwa. Sina hata hamu ya kumuangalia!.
 
Mwaka 2013 mwezi 12 tarehe sikumbuki ila usiku wa saa nane nikiwa kazini shift ya usiku.nilikuwa Nina fuatilia likeji ya maji Kwenye matanki makubwa kabisa ndipo nilikutana na hiyo kizaazaa cha Mwaka.nilifanikiwa kumua.ila shughuli ili kuwa pevu.na alikuwa Ana urefu mita 1 na nusu.uzito kilo Tatum.

Ulikua kwenye lindo la usiku pole sana
 
waallah siwapendi hawa wadudu hata kidogo, nlikua dodoma siku moja kumsalimia bi mkubwa akaingia nyoka mkubwa sana ambae binafsi sijawahi muona ana macho makubwa yametoka nje, ana wekundu fulan uliokomaa mgongoni huwa wanaishi kwene mibuyu mikubwa SIJAWAHI AMINI KAMA NILIMUUA YULE MDUDU, nahisi ni kwa sababu alitaka mshambulia bi mkubwa, since that day sijakaa kusahau. hawa wadudu SIWAPENDI SIWAPENDI.. NA NDIO NAWAOGOPA.

Hongera kwa kuliua joka lenye makengeza
 
Wiki jana majira ya usiku nilikutana naye alikuwa anakatisha barabara ,urefu wake ulikuwa km ft 6 hivi,nilijaribu kumkanyaga lakini alikuwa mwerevu sana na spidi ya ajabu

Tulikuwa tunatoka Dom kuja Dar na uncle, tukamwona nyoka akikatiza barabarani, uncle aliongeza spidi amkanyage, kwa kuwa hatukujua Kama alimpata au laa, nilijiwa na khofu tangu wakati huo nikifikiri somehow atakuwa amefanikiwa kujiviringisha na anatafuta upenyo wa kuingia tulipo alipizie.
 
Mbabe wake ni honeybarger hana ujanja akikutana na mshikaji anatafunwa vizuri tu
 
CV ya huyu nyoka inatisha. Masai Mara Kenya mwaka jana alimdunga Tembo, hakuchukua siku alikufa . Ndo nyoka wa kwanza duniani mwenye sumu ya kuweza kumuua Tembo.
 
Acha nyodo basi, hio picha iko wapi?
Au uliropoka tu kwa ajali ya Ashk majnum zako?

Nyodo unazijua wewe...na kama unazijua zipo katika kiungo gani cha mwili wa binadamu?
Kuweka pia ni hiari yangu vilevile.
 
Nyodo unazijua wewe...na kama unazijua zipo katika kiungo gani cha mwili wa binadamu?
Kuweka pia ni hiari yangu vilevile.

Teh teh teh.
Muongo utamjua tu.
Unaandika vitu ukiombwa ushahidi unakuwa mkali.
Weka picha acha longolongo
 
Teh teh teh.
Muongo utamjua tu.
Unaandika vitu ukiombwa ushahidi unakuwa mkali.
Weka picha acha longolongo

Nimekwambia njoo wasap hutaki...sasa unataka nini?
Basi njoo Pm nikuwekee.
 
1. Belcher’s Sea Snake
Belcher’s Sea Snake (Cal Donovam/Flickr)

You may be somewhat familiar with these sea snakes. They are quite common, and you may have seen them in films or even in person. They are recognizable from their stripes. Usually these snakes have no interest in confrontation, but if one feels threatened, it may bite you. Three out of four times this will be no big deal, since only about one quarter of Belcher’s Sea Snakes carry venom. Those that do though have the highest concentration of venom in existence. Just a few milligrams has the capacity to kill thousands of human beings, making this the most poisonous snake in the world. Nonetheless, most Belcher’s Sea Snakes are quite harmless thanks to a docile personality and a lack of venom.
<ins data-adsbygoogle-status="done" class="adsbygoogle" style="display:inline-block;width:336px;height:280px" data-ad-client="ca-pub-8372265485319812" data-ad-slot="1071384396"><ins id="aswift_0_expand" style="display:inline-table;border:none;height:280px;margin:0;padding:0;position:relative;visibility:visible;width:336px;background-color:transparent"><ins id="aswift_0_anchor" style="display:block;border:none;height:280px;margin:0;padding:0;position:relative;visibility:visible;width:336px;background-color:transparent"></ins></ins></ins>
2. Rattlesnake
Rattlesnake (Tom Spinker/Flickr)

When most people think of poisonous snakes, the rattlesnake springs to mind pretty quickly. These snakes are found throughout the Americas and are actually a type of viper. Their name comes of course from the rattle which is found at the end of the tail and which creates a distinctive noise. Eastern Diamondbacks are the most poisonous of all rattlesnakes. Thankfully, only about 4% of bites result in fatalities with prompt treatment, but untreated, any rattlesnake bite has the potential to kill. The venom can also cause permanent damage to organs and may even lead to the loss of a limb.
3. Death Adder
<ins data-adsbygoogle-status="done" class="adsbygoogle" style="display:inline-block;width:336px;height:280px" data-ad-client="ca-pub-8372265485319812" data-ad-slot="4024850795"><ins id="aswift_1_expand" style="display:inline-table;border:none;height:280px;margin:0;padding:0;position:relative;visibility:visible;width:336px;background-color:transparent"><ins id="aswift_1_anchor" style="display:block;border:none;height:280px;margin:0;padding:0;position:relative;visibility:visible;width:336px;background-color:transparent"></ins></ins></ins>​
Death Adder (Loza Tarantula Tamer/Flickr)

You know that famous legend about Cleopatra using a snake to kill herself? The type of snake she supposedly used was a death adder. You can find these snakes throughout Australia, New Guinea, and other regions. A bite can result in paralysis, respiratory arrest, and death inside of only six hours. With fast treatment, a patient is unlikely to die, but without treatment, about 50% of bites are lethal. Death adders also prey on other snakes.
4. Inland Taipan
Inland Taipan (Matthew Klein/Flickr)

While it’s difficult to be as impressed by the Inland Taipan after learning about the concentration of venom in a Belcher’s Sea Snake bite, it’d be foolish to discount the Taipan just because its bite can only kill as many as 100 people! Taipans usually avoid human contact, however, and you are unlikely to ever encounter one.
5. Eastern Brown Snake
Eastern Brown Snake (Matt Summerville/Flickr

This type of snake is among the few which are actually aggressive. It is commonly found in Australia, and may be found in populated areas like cities, not just remote locations. If it perceives someone as a threat, it will actually chase that person out of its territory. If the snake is not confident of its safety, it may decide to bite. If it does so, it may bite many times during a single attack. Less than half contain venom, but those that do can cause paralysis or death. Because of its proximity to population centers and its aggression, you could argue the Eastern Brown Snake is the most dangerous snake in the world.
6. Blue Krait
Blue Krait (Markus Oulehla/Flickr)

This snake is not as well known as some, but its venom is 16 times more potent than that of the cobra! There also is no really good antivenin to use, which makes it quite deadly. The Blue Krait tends to keep to itself and usually only comes out at night, though, so it is generally easy to avoid.
7. Black Mamba
Black Mamba (Victor Fernando Ocampo/Flickr)

This snake is usually found in Africa. A single bite contains enough venom to kill ten people (Just ten? You’re still thinking about that sea snake, aren’t you). It can travel as fast as 20 km/h, which makes it the fastest snake on the planet. The Black Mamba will bite a number of times when it attacks, and if the bite is not treated, it is almost always going to result in death.
8. Tiger Snake
Tiger Snake (Barry Kiepe/Flickr)

This snake is native to Australia and is recognizable because of it width and yellow bands. The bites are very accurate, and without treatment, will result in death nearly three quarters of the time.
9. Philippine Cobra
Philippine Cobra (Dangerous Snakes 2012/Flickr)

This snake is easily spotted because of its wide neck collar. While cobras inspire fear, most types of cobras don’t even make this list. The Philippine Cobra, however, does. It doesn’t even have to bite you to poison you. All it has to do is spit, and it can do that from 3 meters away and still hit you. Paralysis from the venom can cause death within thirty minutes.
10. Saw Scaled Viper
Saw Scaled Viper (Bhavya Joshi/Flickr)

This viper is usually found in the Far East and Middle East, and generally comes out after dark. The main danger with this creature is that the venom is so slow-acting that a victim may make the mistake of waiting too long to seek treatment. Treatment can prevent death in the majority of cases, but without it, death will result slowly and painfully over the course of two to four weeks.
Now you know the most dangerous snakes in the world. Some are easy to avoid, like the Blue Krait, while others, like the Eastern Brown Snake, may sneak up on you even in the middle of a busy city. Some snakes are dangerous because of the speed or ferocity of their attacks, others because of how common and widespread they are, and still others because their toxins are so deadly. As you can see, though, the majority are not aggressive, and will steer clear of you if you steer clear of them. And even if you do get bit, with prompt treatment, in most cases you will live.
<ins data-adsbygoogle-status="done" class="adsbygoogle" style="display:inline-block;width:336px;height:280px" data-ad-client="ca-pub-8372265485319812" data-ad-slot="5501583999"><ins id="aswift_2_expand" style="display:inline-table;border:none;height:280px;margin:0;padding:0;position:relative;visibility:visible;width:336px;background-color:transparent"><ins id="aswift_2_anchor" style="display:block;border:none;height:280px;margin:0;padding:0;position:relative;visibility:visible;width:336px;background-color:transparent">
Naona list zinatofautiana, 10 Most Poisonous & Most Dangerous Snakes In the World
</ins></ins></ins>
 
Back
Top Bottom