Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Yupo nilioneshwaga Wasap.
Yupo softttttttt!!!!!
Hivi kumbe na wewe una simu ya wasap!!
Cc: Evelyn Salt.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo nilioneshwaga Wasap.
Yupo softttttttt!!!!!
Hivi kumbe na wewe una simu ya wasap!!
Cc: Evelyn Salt.
Afu naomba ukome kunifuatililia.
Kule juu nimekukwepa....huku tena unanifuata...UNIKOME WEWE.
TENA UKOME KUNI-QUOTE KATIKA THREAD YOYOTE ILE UKINIKUTA.
Afu naomba ukome kunifuatililia.
Kule juu nimekukwepa....huku tena unanifuata...UNIKOME WEWE.
TENA UKOME KUNI-QUOTE KATIKA THREAD YOYOTE ILE UKINIKUTA.
Huyu nyoka namuuza $350 kila kichwa, Florida. Mwenye uwezo wa kumpata pamoja na document za Wizara ya Maliasili anijulishe.
Chabutwa nilishafika. Enzi hizo wanafahamika kwa mcheza ngoma Manywele.
Nilifika hadi ndani kabisa wanaita Kumwa Nkeki. Nikaenda kuangalia kwa mara ya kwanza migomba ya Kiguruwe, machungwa na machenza kwa wingi pamoja na nguruwe wa Kizungu kwa akina Yongolo.
Babu yangu alikuwa akiishi hapo na alizikiwa hapo. Ila sikuona Koboko huko zaidi ya kuona mmea wa Bangi kwa mara ya kwanza, teteteteeee....
Mpaka Nkeki ulifika? Basi we ni mwana sikonge mwenzangu halisi, hawa koboko ni wengi sana na hasa kwenye mashamba hayo ya bamgi uliyoyaona, inasemekana anakula ghanja huyu snake ndio maana mkorofi
Mpaka Nkeki ulifika? Basi we ni mwana sikonge mwenzangu halisi, hawa koboko ni wengi sana na hasa kwenye mashamba hayo ya bamgi uliyoyaona, inasemekana anakula ghanja huyu snake ndio maana mkorofi
Njaa mbaya sana.
Unataka mtu ahangaike na Nyoka mwenye sumu toka bongo mpk fl kwa $350?
Au ganja ya leo umechanganya na kubeli?
Labda anamaanisha mtu abebe container zima la hayo majoka
dah, leo nilienda shambani nimekutana na nyoka mweusi kashiba! wenyeji wanamwita swila japo siyo kobra. wakaanza kunipa stori za watu kukatwa miguu baada ya kung'atwa na kifutu. kitu kizuri ni kuwa koboko (wanamwita mhando) huku nasikia hayupo.
Swira ukimwagia mafuta ya taa anahama kijiji.
Hio nilifundishwa na babu.
Jaribu Uone mbio zake.
Lkn kuwa makini asije pitia pua.
Ukaanza kuita mamaaaaaa!
Kuna kijiji umetaja hapo du !! . Kumbe watu wametoka mbali ndo maana hata majibu humu JF wakati mwingine !!!
Vipi huyo black mamba nae ukimwagia mafuta Ya taa Inakuwaje?