Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Mkuu wakati niko porini kwa sababu black mamba ana uwezo wa kuruka tulikuwa hatusogei karibu. Akitokea ghafla ni mawe na Vipande vya magogo tu.
Kwahio tukielekea Porini tukakuta kichuguu humimina mafuta ya taa ndani yake na kukaa mbali.
Basi nyoka yyt aliomo humo ndani mbio atakayotoka humo si ya kawaida.

Koboko (black mamba) huwezi kumsogelea bila kuwa Mtaalamu wa Nyoka. Na sababu kuu ni ule Urefu wake. Anaruka ka bullet. Na sisi wengine Viazi na ugali kila siku tulikuwa Wazito sana kwa hio we never take a chance!
Na kingine hawa Koboko sumu yao ilivyo kali huwa inapanda Mwilini fasta sana na kusimamisha moyo faster than you think.

Kuna Bubu mmoja aligongwa na Huyu Koboko kaja mbio kambini anapiga kelele tumeshindwa kuelewa nini anasema amekufa chini ya dakika 10!
Sura yake na macho yake yalibadili rangi ajabu kabisa.

Huyu Nyoka ukikutana nae ni kurudi nyuma na Kumtazama mpaka apotee. Ukimpa mgongo tu umeondoka.
Hatari kuliko kupiga kofi Polisi wa bongo mwenye njaa!

Hapa Sheikh Kahtaan nimecheka sana ulivyosema bubu kaanza kupiga kelele baada Ya kung'atwa na hili joka! Labda almanusura bubu angeongea!
Linapokuja suala la kumtazama huyu nyoka hadi apotee sipati picha najua Nita-blink na nitampa kisogo tu
 
Mkuu huyu Madame B anasema Ana nyoka mwenye kufanana na Dushelele.
Sasa sijui ana maana gani hapa.!

Watu wanajadili Koboko, ye anatupeleka kwenye hisia mbovu!
Hatari sana.

Hisia wewe ndo umejipeleka huko

Mie huyo nyoka nimeshawahi kumuona jamani.
yuko soft mkiani na kichwani halafu ana kama tujicho tumoja tudogodogooooo.
Siwezi kuweka picha, ila ninayo.

kahtaan nimekwambia njoo Pm nikuoneshe...unaogopa nini nawe mwanaume bhana...
 
Last edited by a moderator:
Hapa Sheikh Kahtaan nimecheka sana ulivyosema bubu kaanza kupiga kelele baada Ya kung'atwa na hili joka! Labda almanusura bubu angeongea!
Linapokuja suala la kumtazama huyu nyoka hadi apotee sipati picha najua Nita-blink na nitampa kisogo tu

Mkuu km hujiamini Usithubutu kwenda Porini.
Wasije kukuzika siku si zako.

Huu utani tunaofanyiana humu huko porini ni Real life. Kosa moja bao mbili.

Mi nakwambia chukua mpambe mmoja asie na kazi umtangulize mbele km Chambo we hutaki.
Mbona wako wengi tu wanazurura hapo mjini?
Ukitaka list we nishtue tu. Humu Jf wapo kibao.
 
hebu wataje wanaozurura humu jamvini ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
hebu wataje wanaozurura humu jamvini ha ha ha ha ha ha ha ha ha

we shida yako kuwacheka! Mi nataka Anaehitaji Wapambe nimpe list hapa ya wazembe na wazururaji ili apate kuwapa ajira japo ya siku kadhaa.
 
we shida yako kuwacheka! Mi nataka Anaehitaji Wapambe nimpe list hapa ya wazembe na wazururaji ili apate kuwapa ajira japo ya siku kadhaa.

Mkuu ukinipatia mpambe basi mara safari ya huko porini ikiwadia nitaenda nae huko
Wazo zuri
 
Mkuu ukinipatia mpambe basi mara safari ya huko porini ikiwadia nitaenda nae huko
Wazo zuri

Mkuu kuna watoto wanazurura mjini km Remote Matola Nyakageni Kakende Mlaleo 2013 na Ishmael
Chaguo lako tu.
Lkn km unataka mnene mnene asie na mbio mchukue Ishmael Nyakageni au Kakende na 2013.
manake jamaa hawa waana matumbo uzembe.

Hawa ni wazuri sana kuwatanguliza mbele hasa Ishmael manake km Koboko akiruka hawakosi.

We ukimuona anatoka mapovu huku anahara ovyo ujue Kaisha pata habari. Unayoyoma tartiiibu unamuacha hapo.

Wanamaliza Oxygen bure tu mijini humu na kuzidisha idadi ya wazembe na wazururaji na matapeli.

Bora mkuu uwapunguze kidogo.
Mi ntachangia pesa ya sanda Just in case.

Km ukitaka Picha ili uwatazame vizuri nikute pm.

Ahsanta.
 
Last edited by a moderator:
Bora Musri anyongwe tu.
Shenzi sana hawa side B

Hii imeingiaje kwenye huu uzi?
Hapa tunaongelea Koboko na nyoka wengine, we unaleta habari ya Kunyongana!
Au ile maneno inawasha?
We seme tu uletewe Anaconda akutulize jazba! Manake manyapi mliokomaa km wewe bila anaconda hujaskia kitu.
 
Nakwambia njoo Pm hutaki.
Asa mie nifanyeje?
Nina anza pata shaka
 
Jf stress freeeeee
Nimecheka sana eti amtangulize. Remote

mkuu Super H huyu kahtaan yupo chini ya intensive evestigation achana nae kabisa usijehusishwa na ugaidi.. Mimi sikuhizi hata anai'mention vipi huwa nampotezea..
via taarifa za kiintelejensia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom