Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee wapo wengi sana Kasulu hao wanyoka haswa eneo la Makere. Anaruka kama ndege halafu anakupa ya utosi usioombee ukutane Naye. Pia huwa anawika kama jogoo, sehemu anayokaa huwa miti imekauka maana akiwa na hasira huigonga na sumu yake kukausha miti
samahani hao nyoka kwa dar wanapatikana maeneo gani? nisijeenda kununua kiwanja kumbe ndio chimbo lao
Mtoa mada umechanganya madesa,black mamba sio koboko.hawa ni nyoka wawili tofauti,hebu jaribu kutafti tena
Kwetu tunamwita enchwera. Huwa haumi ovyo ovyo ils anajihami sana na mate yake! Anapenda kutemea usoni machoni...
Aisee wapo wengi sana Kasulu hao wanyoka haswa eneo la Makere. Anaruka kama ndege halafu anakupa ya utosi usioombee ukutane Naye. Pia huwa anawika kama jogoo, sehemu anayokaa huwa miti imekauka maana akiwa na hasira huigonga na sumu yake kukausha miti
Ebana ni kweli makere nilisikia kua wapo lakini nimekaa miaka kama 2,lakini sijawahi kumuona nimeona vifutu wengi sana aiseee...daaahh...
Ahahaha Mzee wa IRC cyo? Mzee wa Block Mapapai
Hahahahaha kama dawa mzeee nadhani wewe utakua wa block opposite na mapapai aiseee...hahahaha
Akikutana na nyegere(honey burger) hizo sifa zoote anaweka mfukoni.ila binadamu ukifanikiwa kumuua utakuwa umeacha kazi umefanya kazi..hatari aloo.
Umenifurahisha sana. Anawika kama jogoo. Tufanye biashara, ukimwona nistue nije nimkamate nataka niwafuge hao.Aisee wapo wengi sana Kasulu hao wanyoka haswa eneo la Makere. Anaruka kama ndege halafu anakupa ya utosi usioombee ukutane Naye. Pia huwa anawika kama jogoo, sehemu anayokaa huwa miti imekauka maana akiwa na hasira huigonga na sumu yake kukausha miti
Aisee wapo wengi sana Kasulu hao wanyoka haswa eneo la Makere. Anaruka kama ndege halafu anakupa ya utosi usioombee ukutane Naye. Pia huwa anawika kama jogoo, sehemu anayokaa huwa miti imekauka maana akiwa na hasira huigonga na sumu yake kukausha miti
Huyu hapaweka picha ya bm