Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Kwa Tanzania nyoka huyu hupatikana mikoa ya Dodoma,Tabora, na Shinyanga.This snake is a bad news....Deadly
 
Mimi nimemshuhudia huyu nyoka.....niseme tu ni hatari kushinda maelezo.
 
Tanzania wanapatikana maeneo gani?
Mungu anatulinda sana hayo manyoka Wengi wapo Mashambani mkuu kuna wasukuma walikuwa wanaua huyo nyoka aliuwa ng'ombe mwenye mimba.. ilikuwa mwanza mwaka juzi kama sikosei lakini alikuwa mrefu kuliko wa kwenye picha hapo.... hatari huyo bora ugongwe na gari sio huyo
 
na huyo nyoka anaweza kugonga had watu wa 5 kwa mara 1,,, ilitokea Msimbat Mtwara aligonga Ng'ombe 80 na wote wakafa hapo hpo ila sina uhakika kama alikuwa wa kichawi au ndo alivyo
 
Mungu anatulinda sana hayo manyoka Wengi wapo Mashambani mkuu kuna wasukuma walikuwa wanaua huyo nyoka aliuwa ng'ombe mwenye mimba.. ilikuwa mwanza mwaka juzi kama sikosei lakini alikuwa mrefu kuliko wa kwenye picha hapo.... hatari huyo bora ugongwe na gari sio huyo

Urefu hutegemeana na umri pia
 
OMG-Trivia-11-22-11.jpg
Urefu hutegemeana na umri pia
lakini nyoka hatari zaidi ulimwenguni ni Rattlesnake kwa ki swahili sijajuajua jina la huyu
 
Nilimuaga koboko nikamla mzima mzima baada ya kugonda kondoo wangu niliopewa na babu mpaka leo nina hasira sana kama koboko.
 
Uyoo nyoka na mfahamu vizuri sana nihatari kuliko ulivyoeleza niliwai kumkanyaga mkia na gari aliikimbiza gari uku anaigonga kwenye bord nilipata mawazo kama ninge kuwa kwa miguu ingekuwaje uyo mdudu ni hatari mno
Duh mkuu kama anakimbia km 12 kwa saa wewe ulikua unaendesha gari kwa speed gani?
 
View attachment 344440
lakini nyoka hatari zaidi ulimwenguni ni Rattlesnake kwa ki swahili sijajuajua jina la huyu
Rattlesnake sio aina ya nyoka ni kundi la aina za nyoka wenye sumu wapo katika aina tofauti tofauti zinazokadiriwa kuwa ni 65-70. Ila nyoka mwenye sumu zaidi anaitwa Taipan amegawanyika katika aina mbili kuna coastal na inland nitawaelezea siku sio nyingi ingawa hawapo Africa
 
Mungu anatulinda sana hayo manyoka Wengi wapo Mashambani mkuu kuna wasukuma walikuwa wanaua huyo nyoka aliuwa ng'ombe mwenye mimba.. ilikuwa mwanza mwaka juzi kama sikosei lakini alikuwa mrefu kuliko wa kwenye picha hapo.... hatari huyo bora ugongwe na gari sio huyo
Kweli mkubwa hasa mimi huku nilipo kila siku lazima nikutane na nyoka...Jana tu nimemuona anayefanana na majani makavu..na kuna mwingine huyo nahisi ni Nyamwilu ndio huwa karibia kila siku akiotea jua...
 
Back
Top Bottom