Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Nyoka wengi hua wana aibu na huwa wa kwanza kuretreat unless wawe cornered, koboko hajui kuretreat, ana accuracy, speed na bado yeye ndiyo ataanzisha ugomvi.

Iwe iwavyo ninachojua hachomoki mbele ya honey badger.
Honey badger akikutana nakoboko aliekomaa panakua hapotoshi anaweza kumwua ila nayey hachukuia round
 
Ukiwa unamsogelea anatoa sauti ya kukuonya siyo kwamba anakua kajikausha kua anakuogopa.

Isipokua sauti hua anaitoa kwa chini mno na kwa vile mara nyingi kukutana naye ni porini unaweza kuhisi ni majani ndiyo yanatoa mlio.

Na puff ader ndiyo death adder, mnyama kukabidhiwa jina hilo siyo shughuli ndogo.
 
Nyoka wengi hua wana aibu na huwa wa kwanza kuretreat unless wawe cornered, koboko hajui kuretreat, ana accuracy, speed na bado yeye ndiyo ataanzisha ugomvi.

Iwe iwavyo ninachojua hachomoki mbele ya honey badger.
Na kweli mambas ni khabari nyingine halafu mshari sana
Ila kwa badger au mongoose ndio balaa pia kuna ndege anitwa Secretary Bird huyu anapiga karate kama Jet Li
 
Mkuu huyo nyoka na mjua vizuri sana nimesoma uko tabora boys wapo wengi tu akisikia binadam anajongea sehem alipo hua anafoka kukujulisha nipo maeneo haya so usimzuru na unaweza pishana nae bila tatizo lolote.sisi tulikua tukiona ana vuka barabara tuna mchezea kwa kumvuta nyuma alipo toka anaishia kufoka tu ila hiyo mashine nyingine ilishawahi kuzingua watu makabulini akuna aliye baki nahisi ata marehem asinge kua ndani ya jeneza angekimbia
 
Pia koboko ndo mgunduzi namtumiaji mzuri wabangi
 
Na ukimsogelea huwa anakupa warning ya sauti ffuu!!!!usipoelewa unakula bite!

Hahaha mkuu sisi tulikua tunawarudisha nyuma alipo toka yani kila akienda mbele sisi tunamvuta nyuma tukichoka tunamuulia mbali ila ukimkanyaga imekula kwako
 
Koboko ni level nyingine kabisaa yaani sio simba,chui,chatu, cobra wote unawajua wewe ni wachumba mbele ya koboko.

Simba au chui mkiwa watu wawili au watatu mmeshika mawe au mna silaha za jadi simba mwenyewe anakimbia mkimbia lakini sio koboko.....

Yaani hata muwe watu 100 na mna silaha za moto na mabomu ya machozi mbele ya koboko ni sawa mnajisumbuaaa buree kwa sababu ana uwezo wa kupambana na jeshi zaidi ya miaa na akawauwa watu woteee na hakuna atayebakia salama

Kwa kifupi tuu koboko ni jeshi la mtu mmoja
 
Ila Koboko mwenye hasira akikubananiza, ukimuimbia ule wimbo Sina makosa wa Les Wanyika anakuacha.
Halafu ninavyoupenda wimbo huo
Umeisha nipa silaha ngoja niende na kama ntawakuta wadogo wadogo ntawachukua niwafuge tu
 
Hahaha mkuu sisi tulikua tunawarudisha nyuma alipo toka yani kila akienda mbele sisi tunamvuta nyuma tukichoka tunamuulia mbali ila ukimkanyaga imekula kwako
wadogowadogo au wakubwa? nimeshangaa kwamba unamshika afu anakuangalia tu?
 
Mbona siyo kweli chief.

Kwa sababu koboko siyo miongoni mwa most venomous snakes na hana fatalities kubwa ukimlinganisha na puff ader.
Kutokuwa na fatalities hakumfanyi koboko kuwa sio Venomous ila sema Puff ader huwa anapenda mazingira ya karibu karibu na makazi ya watu zaidi kwa ajili ya panya.
 
Reactions: Pep
Nyoka nimewasoma tu kwenye articles na statistics wachache sana nimeshare nao eneo.

Takwimu zinasema puff ader ana fatalities nyingi kuliko black mamba, na rekodi zinasema black mamba ana sumu kali lakini siyo most venomous snake.
 
Hahaha mkuu sisi tulikua tunawarudisha nyuma alipo toka yani kila akienda mbele sisi tunamvuta nyuma tukichoka tunamuulia mbali ila ukimkanyaga imekula kwako
Ulikuwa unachezea moto huyu nyoka ndio anagonga kwa haraka sana kuliko koboko na fangs zake ni kubwa kuliko koboko.
 
Kutokuwa na fatalities hakumfanyi koboko kuwa sio Venomous ila sema Puff ader huwa anapenda mazingira ya karibu karibu na makazi ya watu zaidi kwa ajili ya panya.
Camouflage ya puff ader haifanyi kazi kwenye makazi ya watu ukigongwa na puff ni wewe ndiyo ulimfuata maeneo yake

Hivyo kusema fatalities ni kwakua anakua karibu na makazi sidhani kama ni sahihi kwa asilimia zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…