Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Huyu koboko amewahi kusababisha watu wasipite njia ya kwenda hospital masaa kadhaa kabla ya kuondoka kwa ridhaa yake. Ilikuwa mkoa wa Tabora!
Inasemekana kuwa na sifa ya kuwa na speed kuliko nyoka wote na pia sumu yake humchukua muathirika dakika chache mpaka kufa kama asipopata tiba haraka.

Sifa zingine ni kuwa hana tabia ya kumkimbia adui pia hufanya fast and technical attack
 
wadogowadogo au wakubwa? nimeshangaa kwamba unamshika afu anakuangalia tu?

Hahaha mkuu siyo mzembe kiasi hicho umshike kwa mkono tulikua tunatumia fimbo kumvuta nyuma cha ajabu kuna jamaa alimpiga panga likadunda tukaona isiwe kesi tuka tukichoka kuwachezea tuna piga kichwa tu
 
Hahaha nyoka anasikia ila siyo kama sisi tunavyosikia isipokua yeye anasikia vibrations so akiona hizi vibrations ni za ule wimbo wake anakuachia
Nimeweka video mbili hapo kama bando inasoma hebu angalia
 
Hizo ni figure of speech tu !una asilimia 99 ya kushinda vita dhidi ya nyoka wakati una less than 10% au no chance at all kushinda vita dhidi ya simba na chui
Kivip mkuu, ukutane na koboko, kukimbize afu upone?

Koboko hata kama una bunduki atakuua tu,
 
Hahaha mkuu siyo mzembe kiasi hicho umshike kwa mkono tulikua tunatumia fimbo kumvuta nyuma cha ajabu kuna jamaa alimpiga panga likadunda tukaona isiwe kesi tuka tukichoka kuwachezea tuna piga kichwa tu
basi ana haki ya kuitwa mzembe.. kwa haya ninayosikia kuhusu koboko ingekuwa game-changer.
 
Koboko alishawahi kukimbiza basi lililojaa abiria kutoka Urambo mpaka karibu na Mboka.
Daaa aisee sipati picha abiria waliokuwa ndani ya basi walikuwa wanamwangaliaa kwa sura ya aina ganiii wakati koboko analikimbimbiza basiii lao maana nasikia yule mshenzi mkiacha tuu kioo wazi anaingia ndani na kishaa anaanza kufanya vujo zakeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…