Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko ukimtajataja sana anatia timu.hiyo ni fact lakini sijui ni kwa nini?! Hapa inabidi utafiti.
Kinachochekesha ni kwamba pamoja na sumu yake yote akimng'ata nguchiro anazimia tu hafi. Hahahahahaha, nilivyosikia NAT GEO Wild nilicheka kweli, Mamba kajipiga akakang'ata kakalala baada ya muda kakamdaka yeye.
 
Ukiona mzungu anakwambia most dangerous snake in Afrika ujue inawezekana yuko Afrika ndo maana wanamweka namba nne Duniani kwa sumu angekua ulaya angekua namba moja wazungu sometimes ni hawakubali ukweli
Nyoka hatari na sumu kali duniani wapo Australia.
 
Kinachochekesha ni kwamba pamoja na sumu yake yote akimng'ata nguchiro anazimia tu hafi. Hahahahahaha, nilivyosikia NAT GEO Wild nilicheka kweli, Mamba kajipiga akakang'ata kakalala baada ya muda kakamdaka yeye.
Kuna clip niliyoiona ni kifutu na nyegere, kifutu alipoliwa kichwa nyegere akaficha moto kwa muda aka amka akaendelea na msosi wake.
 
Ni rahisi kumuua koboko kwa fimbo kwa kuirusha kiupande kuliko risasi
 
Aisee leta stroy iyo
 
Jinsi ya kumkepa huyo nyoka

Ukikutana nae akiwa kwenye hasira ulia kama tairi linalotoka upepo

Simamaa tulii muangalie tu uku ukionesha upole
Concept ya hii theory kwake anaionaje?
 
Ukifata sifa zake ukaw unatumia sifa zahuyu koboko utafanikiwa
 
Hajakosea, black mamba ni koboko na puff adder ni kifutu. Na ni kweli amepata jina la black mamba kwa sababu kinywa chake ni cheusi. Ngozi yake ni kijivujivu sio nyeusi
Ok kama ni hivyo ndio maana wanamuogopa coz black mamba is among the most venomous snakes in africa. With no antivenom,once bitten death is assured in less than 30 minutes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…