Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
Blackmamba ndo koboko n famil mojaTupiamo vipicha ili watu tumjue naona watu wanachanganya black mamba na koboko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blackmamba ndo koboko n famil mojaTupiamo vipicha ili watu tumjue naona watu wanachanganya black mamba na koboko
Au kitunguu swaumuTembea Na pilipili kavu mifukoni, nyoka aina yoyote hatokusogelea
Kinachochekesha ni kwamba pamoja na sumu yake yote akimng'ata nguchiro anazimia tu hafi. Hahahahahaha, nilivyosikia NAT GEO Wild nilicheka kweli, Mamba kajipiga akakang'ata kakalala baada ya muda kakamdaka yeye.Koboko ukimtajataja sana anatia timu.hiyo ni fact lakini sijui ni kwa nini?! Hapa inabidi utafiti.
Nyoka hatari na sumu kali duniani wapo Australia.Ukiona mzungu anakwambia most dangerous snake in Afrika ujue inawezekana yuko Afrika ndo maana wanamweka namba nne Duniani kwa sumu angekua ulaya angekua namba moja wazungu sometimes ni hawakubali ukweli
Kuna clip niliyoiona ni kifutu na nyegere, kifutu alipoliwa kichwa nyegere akaficha moto kwa muda aka amka akaendelea na msosi wake.Kinachochekesha ni kwamba pamoja na sumu yake yote akimng'ata nguchiro anazimia tu hafi. Hahahahahaha, nilivyosikia NAT GEO Wild nilicheka kweli, Mamba kajipiga akakang'ata kakalala baada ya muda kakamdaka yeye.
Afadhali majini huyu ni shetaniDuhhhh viumbe wengine bora majini
Sorry ni 20 km kwa saa12km/hr hta nn nakimbia zaid ya iyo
Duu hahaa watu waliendaa kuzikaaa amaaa
Swila ni CobraNa swila ndo yupii jaman nazidi kuchanganyikiwaa
Aisee leta stroy iyoNiliyowahi kushuhudia ya nyoka huyu Chunya mbeya acha ninyamaze tu asije fika hapa nilipo!.
Alifunga kijiji kizima baada ya kukorofishwa na vijana wa kisukuma na wawili wali-rest in peace before hawajamuona dokta.
Nitakuja na story kamili nikipata muda jinsi kijiji kilivyopata shida siku 3 kumuwinda mpaka kumuua lkn ni simulizi mpaka leo toka mwaka 2011
Concept ya hii theory kwake anaionaje?Jinsi ya kumkepa huyo nyoka
Ukikutana nae akiwa kwenye hasira ulia kama tairi linalotoka upepo
Simamaa tulii muangalie tu uku ukionesha upole
Anangoja lift hahahahaKuna nyoka wanafiki sana, sasa huko anaenda wapi?
Huyu nyoka anapenda sana kunyenyekewaConcept ya hii theory kwake anaionaje?
HaswaaaaHuyo nyoka koboko kwa kimombo anaitwaje?...ni black mamba??
Ok kama ni hivyo ndio maana wanamuogopa coz black mamba is among the most venomous snakes in africa. With no antivenom,once bitten death is assured in less than 30 minutesHajakosea, black mamba ni koboko na puff adder ni kifutu. Na ni kweli amepata jina la black mamba kwa sababu kinywa chake ni cheusi. Ngozi yake ni kijivujivu sio nyeusi