Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko ukikutana nae usikimbie...ganda hapohapo huku unamlia timing ya kuzoa mchanga...macho yake hayapatani na mchanga, kakiingia hata kajiwe kamoja ka mchanga jicho lina yeyuka..huwa ni kama la majimaji.
 
Koboko ukikutana nae usikimbie...ganda hapohapo huku unamlia timing ya kuzoa mchanga...macho yake hayapatani na mchanga, kakiingia hata kajiwe kamoja ka mchanga jicho lina yeyuka..huwa ni kama la majimaji.
Ngoja niongee kwa kiinglishi kuonesha msisitizo DONT DARE kuinama hata kujikuna wala kujifanya una ujanja wa kutaka kumdhuru Kama huwezi fanikiwa kwa koboko(black mamba) ni nyoka yuko faster kulko nyoka yeyote unamjua au ulishawahi kumuona. DONT DARE YOU WONT SUCCESSED.
 
Koboko ni nyoka hatari sana, lakini si mkorofi kama watu wanavyofikiri.

Huku Chunya wapo sana ila wenyewe huishi maeneo yenye pori kubwa. Binadam wakivamia hilo pori na kuweka shughuli zao, koboko huhama eneo hilo.

Ukali wake upo pale anapochokozwa. Ukimwona usithubutu kumrushia mawe wala vinginevyo.

Na kawaida ukimkorofisha ataaondoka kwa muda lakini ndani ya muda mfupi atarejea kwa ghadhabu na madhara zaidi.

Ili umshinde kimbilia sehemu yenye miti huku ukiwa unakata kona mara kwa mara. Usikimbie ukiwa umenyoosha njia moja.

Eneo alipofanyiwa madhara atasubiri hapo mpaka hasira zitakapo mshuka.

Ila uzuri wake sio mzungukaji, hupendelea kuishi eneo moja tena shimoni, unaweza tembea mchana na usimkute labda awe kwenye mawindo yake
 
Duuuuu alijuaje kuwa hiki chumba ndio kalala jamaa?
 
Duuuuu alijuaje kuwa hiki chumba ndio kalala jamaa?
Duh,
Hapo ndo kila MTU alibak mdomo wazi.

Afu cha kushangza pale kitandan

alilala jamaa, mkewe na mtoto wao mchanga wa mwaka 1.

Ila ajabu ni kua mama&mtoto wake waliamka salama salmini.
 
Huyo nyoka amewahi kumgonga mzee mmoja kijijini kwetu, yule mzee aliponea chupuchupu kwa dawa za mitishamba.
 
ukitaka kumweza koboko vaa helmet inasemekana kuwa anashambulia kichwa tu ndio maana victim wake ni shida kupona
 
Koboko wa kijani, Koboko wa kaki Koboko=Mamba.
 
Duuuh hyo nyoka ni balaa anaweza gonga ng'ombe ata kumi kwa dakika 1 na wote wakafa
 
Nyoka nimewasoma tu kwenye articles na statistics wachache sana nimeshare nao eneo.

Takwimu zinasema puff ader ana fatalities nyingi kuliko black mamba, na rekodi zinasema black mamba ana sumu kali lakini siyo most venomous snake.
wachana na romanticized statics ...sisi wawindaji huku vijijini ndo tunajua shughuli ya huyo mzee.
 
Jamaaa wameniambia huyo nyoka huku watu hawapendagi kumuongelea wala kumtajaa ila hawajanielezea kwanini
Kweli kiongozi ulikuwa Tabora tulikwendaga tukawakutaga wanakulaga ntalali ila HAWAPENDAGI nfulu.
HAWAPENDAGI =HUWA HAWAPENDELEI
 
simba na chui na koboko.. mimi nachagua koboko.. bora kifo cha haraka kuliko kifo cha maumivu makali
Aaah unaroho mzee, mimi sichagui chochote kabisa kama kuna wauaji wameniambia kuchagua nawaambia watachagua wenyewe si wameamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…