Sijawahi kuona nyoka mpelelezi kama Koboko huwa anasimama ana angalia ndio ana anza kukukimbiza.
View attachment 766457
Huyu nyoka ni tishio....
Ukiwa karibu yako, anakung'ata hata Mara 10 kwa mpigo
Ukiwa mbali,anaweza kukutemea sumu.
Na sumu akikutemea analenga sana machoni na sehemu za kichwa.
Sumu ikiingia machoni, unaanza kubleed machoni.
Ukicheleweshwa ddk 10, ushakua kipofu.
Akikutemea mate, yakitua kwny ngozi yako.
Yanaunguza utadhani mafuta ya moto yanayokaanga chips.
Ukikimbia, Atakukimbiza tu.
Na speed yake ni balaa.
Ni mojawapo ya nyoka wenye kasi ya ajabu duniani anapotambaa.
Pia, ana uwezo wa kupaa (fly) kwa short distances Mara nyingi sana kwa wakat mmoja.
Pia, Huyu nyoka hupenda sana HARUFU YA BANGI KAVU INAYOUNGUA.
Wawindaji wa hawa nyoka, wengi hutumia bangi kumseti kwenye target.
Ukiamua kwenda kuvutia bangi kichakani, Jiandae kumpokea mgeni KOBOKO.
Ni zaid ya kobra.