Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,547
Hata tai anawala sanaNyoka wengi hua wana aibu na huwa wa kwanza kuretreat unless wawe cornered, koboko hajui kuretreat, ana accuracy, speed na bado yeye ndiyo ataanzisha ugomvi.
Iwe iwavyo ninachojua hachomoki mbele ya honey badger.