Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Nyoka wengi hua wana aibu na huwa wa kwanza kuretreat unless wawe cornered, koboko hajui kuretreat, ana accuracy, speed na bado yeye ndiyo ataanzisha ugomvi.

Iwe iwavyo ninachojua hachomoki mbele ya honey badger.
Hata tai anawala sana
 
Koboko ni Black Mamba... Huyu nyoka akiingia darasani akiwakuta wanafunzi dakika tano wamekauka..
Tofauti ya simba na chui ukikutana nao ukipiga kelele wanakimbia...
Koboko ukim provoke imekula kwako...
Wafugaji wakisikia pori lina koboko wana hama..
Nilishuhudia msukuma 1 akilia kuliko msibani baada ya ng'ombe wake kama 50 wakidondoka, anatahamaki anamuona koboko kasimama halafu akasepa speed ya mwanga wa radi, ilikuwa ni maeneo ya wilaya urambo njia ya kwenda ulyankulu
 
Basi lililokimbizwa na koboko kutoka Urambo mpaka Mboka Manyema hili hapa.
 

Attachments

  • 35.jpg
    35.jpg
    14.9 KB · Views: 60
Mkuu kama unahamu ya kumuona njoo kagera...nipo sehemu moja pembeni ya ninapoishi kuna pori kubwa...huwa kila siku asubuh namsikia anawika kama jogoo...ukitaka kumuona njoo unitembelee mkuu...huwa naogopa kutoka nje usiku..kuna siku nishawah kutana naye
 
Mbona huyu nyoka anaonekana mzito....anaSpeed kweli ya kugonga!
Huyu tembea yake huwa kama kinyonga tatizo usije mkanyaga, ila niliwahi ona akitoka mbio kuliko koboko tulipokuwa tunachoma rundo la majani kumbe alikuwemo, alitoka speed kali utadhani msafara wa magu vijijini, halafu kinyonga nae huwa maringo nishakuta kinyonga akienda speed ya mjusi akikimbia moto uliokuwa unachoma msitu,
 
NI NYOKA WENYE SUMU KUBWA SANA,MFANO TUU BLACK MAMBA AMBAYE HUKU NDIO TUNAMWITA KOBOKO ANAUWEZO WA KUKUGONGA MARA 120 BILA KUCHOKA WALA KUPUNGUZA KIWANGO CHA SUMU ANAYOTEMA KILA ANAPOKUGONGA,SUMU AMBAYO INAKWENDA KUHARIBU NEVA ZA FAHAMU,PIA CHEMBE ZA KUGANDISHA DAMU ILI USITOKE KWENYE JERAHA YAANI PLATELETS HUWA HAZIWEZI ZUIA DAMU ISIACHE KUTOKA,NA PIA HUATHIRI MFUMO MZIMA WA DAMU,NI NYOKA HATARI SANA,
Kumbe koboko ndio huyo black mamba?
 
Back
Top Bottom