Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Hahaa umenikumbusha mbali mkuu,uzuri wa wataalam wa Mboka huwa wako vizuri.
Nilirudi mwaka jana baada ya miaka 12 kutoka huko, haijabadilika kabisa mkuu, yani mjini ipo vile vile, sana sana nimekuta fence kuuubwa kanisa la mihayo
 
Nilirudi mwaka jana baada ya miaka 12 kutoka huko, haijabadilika kabisa mkuu, yani mjini ipo vile vile, sana sana nimekuta fence kuuubwa kanisa la mihayo
Daah!! Mboka,mji niupendao.
 
Daah!! Mboka,mji niupendao.
Ila sasa pangaboi inafika kule, ati least imerahisisha, nataka niende mwezi ujao mitaa ya kaliua nikanunue asali manake inakuwa ya kumwaga mida hiyo na bei chini
 
Huyu jamaa alikuwa anasoma Chuo cha wanyama pori huko South Afrika wakati anatoka darasani akakutana na Koboko akagongwa mara kadhaa madaktari walijaribu lakini wapi.alifarikia hospitali.
 

Attachments

  • sn_2083330b.jpg
    sn_2083330b.jpg
    47.1 KB · Views: 79
mkuu huyo nyoka ni hatari tabia yake. koboko Ana uwezo wa kuruka angani ko huna uwezo wa kumkimbia Pili koboko akikasirika hutoa sauti ya kufanana na tairi inavotoa upepo. koboko ndiyo nyoka anaeongoza kwa kuwa na simu kali kwani akikung'ata ndani ya dakika moja mwili hubadilika na kuwa mweusi pi. na huchukui dakika 20 unakufa. tahadhari ukiwa unaendesha Gari usiku kwa bahati Mbaya ukamkuta katikati ya Bara Bara usithubutu kutaka kumgonga nyoka huyu anaakili sana. huruka na kudandia Gali yako utatembea weeeee. mpaka ukishasimama tu, basi anakushambulia na kusepa zake.
hiyo ndiyo sifa zake.
 
Koboko habari nyingine, ila kuna mzee mmoja kijijini wilayani Mbogwe alimuua huyu nyoka kwa neema ya Mungu. Mazingira yalikuwa hivi baada ya nyoka Koboko kukutanisha macho na mzee vita ikaanza mzee alikuwa na panga akakata fimbo fupifupi kama 3 hivi kwakuwa Mazingira yalikuwa na nyasi nyingi Koboko alikuwa anajificha chini ya nyasi anakimbia kwa speed ya hatari mpaka aliposimama mzee akifika anasimamia mkia ili amgonge mzee kichwani, mzee akausoma mchezo ikawa battle hatari koboko akiinama chini ya nyasi kumfukuzia mzee alipo anakuta mzee kabadili position nyoka anashuka chini tena mbio kwenda alipo mzee, anakuta tena mzee kabadili position battle iliendelea kama dakika tano nyoka alipoinama chini kumfukuzia mzee posion aliyopo mzee alibadili position kwa distance ndogo hivyo mzee akabahatika kumrushia fimbo akampiga nyoka kichwa kikachanika hapohapo koboko akagalagala chini.
 
Huyu koboko amekomaa bhana,koboko akifikia kimo hiki hata Tembo huwa wanatoka baruti.
Huwa siogopi nyoka na napenda kukutana na kupambana nao, ila hili jamaa niwe nalisikia tu. Limewahi kuua familia ya jirani mwaka 1979, enzi za vita vya Tz Vs Ug... Familia nzima ya watu 12 (baba, mama & watoto 10) ndani ya handaki...

Sijawahi kusikia likidharauliwa, always ni salute tu! Bora cobra ni mzito, si mjanja namuua hata kama nimekaa
 
Kuna koboko mmoja alikuta roli la madawa limeanguka vidonge vikawa vimesambaa kila mahali kwa njaa zake koboko yule akala Viagra basi alisimama mwezi mzima.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
medd_01_img0006.jpg

Hawa masangoma wa kisauz ni noma wanachezaga na kifutu.
 
Sijawahi kuona nyoka mpelelezi kama Koboko huwa anasimama ana angalia ndio ana anza kukukimbiza.View attachment 766457
Huyu nyoka ni tishio....

Ukiwa karibu yako, anakung'ata hata Mara 10 kwa mpigo

Ukiwa mbali,anaweza kukutemea sumu.

Na sumu akikutemea analenga sana machoni na sehemu za kichwa.

Sumu ikiingia machoni, unaanza kubleed machoni.

Ukicheleweshwa ddk 10, ushakua kipofu.

Akikutemea mate, yakitua kwny ngozi yako.

Yanaunguza utadhani mafuta ya moto yanayokaanga chips.


Ukikimbia, Atakukimbiza tu.

Na speed yake ni balaa.

Ni mojawapo ya nyoka wenye kasi ya ajabu duniani anapotambaa.

Pia, ana uwezo wa kupaa (fly) kwa short distances Mara nyingi sana kwa wakat mmoja.

Pia, Huyu nyoka hupenda sana HARUFU YA BANGI KAVU INAYOUNGUA.

Wawindaji wa hawa nyoka, wengi hutumia bangi kumseti kwenye target.

Ukiamua kwenda kuvutia bangi kichakani, Jiandae kumpokea mgeni KOBOKO.






Ni zaid ya kobra.
 
Back
Top Bottom