Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Inasemekana huyu nyoka anawachanganya sana wataalam,wanasema sio Cobra (Swila) ni nyoka mwenye maarifa ukimshambulia anavunga kuwa kafa ukimsogelea anakung'ata ana uwezo mkubwa wa kutema mate.
 

Attachments

  • rinkhals-playing-dead.jpg
    251.8 KB · Views: 48
hivi koboko na nalukwi ndo hao au kuna tofauti....wakati nakuwa nikiwa kilimanjaro hawa nyoka weusi ni marafiki na watu hawana shida penye stori nyingi huwa nao wanawepo..ila kuna huyu nalukwi ndo hatari
 
Naomba kuuliza ivi kondoo akigongwa na koboko inakuaje maana kuna Uzi nliukuta humu unaelezea jinsi damu ya kondoo ilivo anti poisonous kwenye Nyoka!!!!!
 
Koboko ukikutana nae usikimbie...ganda hapohapo huku unamlia timing ya kuzoa mchanga...macho yake hayapatani na mchanga, kakiingia hata kajiwe kamoja ka mchanga jicho lina yeyuka..huwa ni kama la majimaji.
Na ni mjanja sana akiona unainama anajua unachukua mchanga.. Anaondoka au anakujia kwa reverse... Sometime anajifanya ameondoka ila kwa mbali anakufutilia ukifika sehemu ina majani,udongo au hamna mchanga ndo anakuja mbele yko ssa ana kucheck kuwa ssa hauna mchanga unasemaje....hapo atakugonga kama mara 100 hivi maana anakuwa na hasira zaidi coz ulitaka mmwagia mchanga...
 
Naomba kuuliza ivi kondoo akigongwa na koboko inakuaje maana kuna Uzi nliukuta humu unaelezea jinsi damu ya kondoo ilivo anti poisonous kwenye Nyoka!!!!!
Mkuu kondoo pia akigongwa lazima anyooshe miguu.
 
Duuuuu eti anaenda kusimulia wenzie...

Ila koboko ni nyoka anaeongoza kwa kusingiziwa
 
Hahaaa haaaa...kumbe mbio anazo fala huyu!
 
Nimependa hiyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…