Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Inasemekana huyu nyoka anawachanganya sana wataalam,wanasema sio Cobra (Swila) ni nyoka mwenye maarifa ukimshambulia anavunga kuwa kafa ukimsogelea anakung'ata ana uwezo mkubwa wa kutema mate.
Rinkhals.jpg
Rinkhals.jpg
 

Attachments

  • rinkhals-playing-dead.jpg
    rinkhals-playing-dead.jpg
    251.8 KB · Views: 48
hivi koboko na nalukwi ndo hao au kuna tofauti....wakati nakuwa nikiwa kilimanjaro hawa nyoka weusi ni marafiki na watu hawana shida penye stori nyingi huwa nao wanawepo..ila kuna huyu nalukwi ndo hatari
 
Naomba kuuliza ivi kondoo akigongwa na koboko inakuaje maana kuna Uzi nliukuta humu unaelezea jinsi damu ya kondoo ilivo anti poisonous kwenye Nyoka!!!!!
 
Koboko ukikutana nae usikimbie...ganda hapohapo huku unamlia timing ya kuzoa mchanga...macho yake hayapatani na mchanga, kakiingia hata kajiwe kamoja ka mchanga jicho lina yeyuka..huwa ni kama la majimaji.
Na ni mjanja sana akiona unainama anajua unachukua mchanga.. Anaondoka au anakujia kwa reverse... Sometime anajifanya ameondoka ila kwa mbali anakufutilia ukifika sehemu ina majani,udongo au hamna mchanga ndo anakuja mbele yko ssa ana kucheck kuwa ssa hauna mchanga unasemaje....hapo atakugonga kama mara 100 hivi maana anakuwa na hasira zaidi coz ulitaka mmwagia mchanga...
 
Naomba kuuliza ivi kondoo akigongwa na koboko inakuaje maana kuna Uzi nliukuta humu unaelezea jinsi damu ya kondoo ilivo anti poisonous kwenye Nyoka!!!!!
Mkuu kondoo pia akigongwa lazima anyooshe miguu.
 
Hawa ni aina ya nyoka washari sana.... Yeye anaenda tu Ugomv. Unaweza ukawa unapita mbali naye una mishe mishe zako akikuona tu ana wewe.... Niwashari na kisirani hasa. Ndo furaha yao hiyo... Wanasema akikaa muda mrefu hajapata mnyama au mtu wa kumgonga anaweza gonga mti...hapo kidogo ndo anajisikia hasira zimepungua. Yaani tu wao hawana urafiki na wanapenda kumtizama mtu anavyokata roho... So anakugonga tu ili ufe basi roho yake inakuwa baridiii... Wana tabia na imani za kipuuzi hawa nyoka. Huwa nasikia wanashindana idadi ya wanyama na binadamu walioua... So anaweza ua haya 50 ndni ya mud mfupi.then anaenda kuwasimulia wenzie...
Duuuuu eti anaenda kusimulia wenzie...

Ila koboko ni nyoka anaeongoza kwa kusingiziwa
 
Huyu tembea yake huwa kama kinyonga tatizo usije mkanyaga, ila niliwahi ona akitoka mbio kuliko koboko tulipokuwa tunachoma rundo la majani kumbe alikuwemo, alitoka speed kali utadhani msafara wa magu vijijini, halafu kinyonga nae huwa maringo nishakuta kinyonga akienda speed ya mjusi akikimbia moto uliokuwa unachoma msitu,
Hahaaa haaaa...kumbe mbio anazo fala huyu!
 
Wana zindiko 1 la nyumba lile kiboko, kama mwanga akisogelea anakita nyumba imezungukwa na ziwa, watu asubuhi wanapita kwenda mashambani, wanakuta mtu anapiga mbizi kwenye majani au matuta, hawa jamaa ni kiboko aisee wana watu wao wanazindika wachawi kwamba akirudi tu anakufa wenyewe wanawaita kamchape
Nimependa hiyoo
 
Back
Top Bottom