Ambilikisye anna
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 561
- 501
Picha tafadhali wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ni mjanja sana akiona unainama anajua unachukua mchanga.. Anaondoka au anakujia kwa reverse... Sometime anajifanya ameondoka ila kwa mbali anakufutilia ukifika sehemu ina majani,udongo au hamna mchanga ndo anakuja mbele yko ssa ana kucheck kuwa ssa hauna mchanga unasemaje....hapo atakugonga kama mara 100 hivi maana anakuwa na hasira zaidi coz ulitaka mmwagia mchanga...Koboko ukikutana nae usikimbie...ganda hapohapo huku unamlia timing ya kuzoa mchanga...macho yake hayapatani na mchanga, kakiingia hata kajiwe kamoja ka mchanga jicho lina yeyuka..huwa ni kama la majimaji.
Mkuu kondoo pia akigongwa lazima anyooshe miguu.Naomba kuuliza ivi kondoo akigongwa na koboko inakuaje maana kuna Uzi nliukuta humu unaelezea jinsi damu ya kondoo ilivo anti poisonous kwenye Nyoka!!!!!
Umesahau mtwara wapo kibao kwenye mapori na juu ya mikoroshoMikoa yenye koboko wengi sana hapa nchini ni Tabora,Mbeya,Kayavi,Geita ila Geita wanaanza kuoungua kutokana na shughuli za uchimbaji nadini wengi wanahamia Tabora.
Tena huko wapo hadi wale wa kijjani.Umesahau mtwara wapo kibao kwenye mapori na juu ya mikorosho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna koboko mmoja alikuta roli la madawa limeanguka vidonge vikawa vimesambaa kila mahali kwa njaa zake koboko yule akala Viagra basi alisimama mwezi mzima.
Duuuuu eti anaenda kusimulia wenzie...Hawa ni aina ya nyoka washari sana.... Yeye anaenda tu Ugomv. Unaweza ukawa unapita mbali naye una mishe mishe zako akikuona tu ana wewe.... Niwashari na kisirani hasa. Ndo furaha yao hiyo... Wanasema akikaa muda mrefu hajapata mnyama au mtu wa kumgonga anaweza gonga mti...hapo kidogo ndo anajisikia hasira zimepungua. Yaani tu wao hawana urafiki na wanapenda kumtizama mtu anavyokata roho... So anakugonga tu ili ufe basi roho yake inakuwa baridiii... Wana tabia na imani za kipuuzi hawa nyoka. Huwa nasikia wanashindana idadi ya wanyama na binadamu walioua... So anaweza ua haya 50 ndni ya mud mfupi.then anaenda kuwasimulia wenzie...
Na tumbo la kuharaa hapoJinsi ya kumkepa huyo nyoka
Ukikutana nae akiwa kwenye hasira ulia kama tairi linalotoka upepo
Simamaa tulii muangalie tu uku ukionesha upole
Huhuhuhuhuhuhu [emoji104] [emoji104]Kinachochekesha ni kwamba pamoja na sumu yake yote akimng'ata nguchiro anazimia tu hafi. Hahahahahaha, nilivyosikia NAT GEO Wild nilicheka kweli, Mamba kajipiga akakang'ata kakalala baada ya muda kakamdaka yeye.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tai alifikiri ni Swila akakutana na koboko akagongwa huku amekumbatiwa njaa bhana!View attachment 766418
Hahaaa haaaa...kumbe mbio anazo fala huyu!Huyu tembea yake huwa kama kinyonga tatizo usije mkanyaga, ila niliwahi ona akitoka mbio kuliko koboko tulipokuwa tunachoma rundo la majani kumbe alikuwemo, alitoka speed kali utadhani msafara wa magu vijijini, halafu kinyonga nae huwa maringo nishakuta kinyonga akienda speed ya mjusi akikimbia moto uliokuwa unachoma msitu,
Kumbe hakufa?Mpaka leo yule faru ni kilema.
Nimependa hiyooWana zindiko 1 la nyumba lile kiboko, kama mwanga akisogelea anakita nyumba imezungukwa na ziwa, watu asubuhi wanapita kwenda mashambani, wanakuta mtu anapiga mbizi kwenye majani au matuta, hawa jamaa ni kiboko aisee wana watu wao wanazindika wachawi kwamba akirudi tu anakufa wenyewe wanawaita kamchape
Sasa angefanyaje mkuu?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mbwiga mmoja alikimbizwa na Koboko akapanda juu ya mwembe akafuatwa huko huko akagongwa aka anguka akiwa maiti.
[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaha
ahahahahahaaaaaaaaaaaa