Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Swila ni Cobra pia nyoka hatari huwa anagonga hata ukiwa umelala

Koboko ni mamba family ni nyoka mkorofi sana
Ukisema mamba family u mean reptiles?

Je ana uwezo wa kuishi majini?
 
Fangs za Koboko ziko mbele kwa ajili ya kudunga na kupampu Venom kwa Ufanisi
Fangs za Kifutu ni ndefu na wakati wa kugonga inabidi afungue mdomo woote ili adunge kwa ufanisi.
 
Asee....mkuu umezidi kuniogopesha na huyu nyoka!

So ndo hakupatikana hadi leo?

Huwa wanaishi miaka mingapi?
 
Huyu nyoka hatari ila meno yake yako ndani yana angalia nyuma huyu akikung'ata inabidi atafune kidogo haachii mpaka venom iingie
 
Duh,
Hapo ndo kila MTU alibak mdomo wazi.

Afu cha kushangza pale kitandan

alilala jamaa, mkewe na mtoto wao mchanga wa mwaka 1.

Ila ajabu ni kua mama&mtoto wake waliamka salama salmini.
Uchawi sasa huu
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…