imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Hakufa lakini ana maisha magumu sana,na ni kwasababu ni mla majani angekuwa mla nyama asingeweza hata kuwinda.Kumbe hakufa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakufa lakini ana maisha magumu sana,na ni kwasababu ni mla majani angekuwa mla nyama asingeweza hata kuwinda.Kumbe hakufa?
Angetoka baruti kweli kweli bila kuangalia nyuma.koboko mwenyewe angecheka tu.Sasa angefanyaje mkuu?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
HaaahaaaaMkuu unachanganya Swila na koboko,koboko hana muda huo wa kutematema yeye ni kugonga tu.
Ukisema mamba family u mean reptiles?Swila ni Cobra pia nyoka hatari huwa anagonga hata ukiwa umelala
Koboko ni mamba family ni nyoka mkorofi sana
Nina maana Black Mamba.(koboko)Ukisema mamba family u mean reptiles?
Je ana uwezo wa kuishi majini?
Asee....mkuu umezidi kuniogopesha na huyu nyoka!Kingine kuhusu KOBOKO,
Ni mojawapo ya nyoka wenye kumbukumbu sana na wepesi wa kulipa visasi.
Ukiona umemjeruhi alafu hukumuua.
Basi jiandae kwa revenge, wakati wowote akishatia timu.
Mf:
Kuna jamaa kule Tabora alimkuta KOBOKO jikoni kwake alkokua anawalaza kuku wake usiku.
Basi jamaa akakuta kuku 5 wamekufa.
Basi akafanya msako, akamlia ambush,akamjeruhi kwa kwanja mkiani (alimkata mkia)
Basi KOBOKO alipozidiwa akatokomea vichakani.
Jamaa akabaki na mkia wa KOBOKO.
Baada ya Muda yule koboko aliota mkia mwingine mpya
( kama kawaida yao Reptiles)
Yule koboko baada ya miezi 3, Yule koboko alirudi pale nyumbani kwa jamaa
Alienda zizini akawagonga ngombe wawili.
Kuna mbwa alkua analinda pale nyumban, nae asbuh walkuta anatoa damu machoni kalala chini hoi bin taabani.
Baada ya mda nae akafariki.
Usiku ule ule kumbe alikua keshamfata jamaa kitandan, na kumgonga mguuni.
Asbuh,
jamaa anaamshwa aone kilichowapata mbwa wake na ngombe.
Wanastuka MTU haamki, Kuangalia wanaona jeraha LA meno kwny mguu.
Na ngozi ya mwili wake ishabadilika kua blue black
PEMBENI
WANAONA GAMBA LOTE ALILOJICHUNA BLACK MAMBA MULE MULE CHUMBANI KWAKE.
Wananchi walighadhabika mno;
Msako wa wiki 2 ulifanyika kumsaka kila kona bila mafanikio.
Tulizuiwa mpaka kumwongelea, yaani ukimtaja tu unakula viboko/makofi
Msalani; ikifika usiku MTU anasindikizwa na watu 3-4 wenye silaha.
Dah,
nkikumbuka lile tukio mwili unanisisimka.
NAJIKUTA NAMWOGOPA SANA HUYU NYOKA.
Hivi ni kweli anavuta?Koboko asipovuta mpole ajabu.
Uchawi sasa huuDuh,
Hapo ndo kila MTU alibak mdomo wazi.
Afu cha kushangza pale kitandan
alilala jamaa, mkewe na mtoto wao mchanga wa mwaka 1.
Ila ajabu ni kua mama&mtoto wake waliamka salama salmini.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Na ni mjanja sana akiona unainama anajua unachukua mchanga.. Anaondoka au anakujia kwa reverse... Sometime anajifanya ameondoka ila kwa mbali anakufutilia ukifika sehemu ina majani,udongo au hamna mchanga ndo anakuja mbele yko ssa ana kucheck kuwa ssa hauna mchanga unasemaje....hapo atakugonga kama mara 100 hivi maana anakuwa na hasira zaidi coz ulitaka mmwagia mchanga...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angetoka baruti kweli kweli bila kuangalia nyuma.koboko mwenyewe angecheka tu.
Mamba ni nini? Hebu naomba unifafanulie labda sielewiNina maana Black Mamba.(koboko)
Black Mamba ni kobokoMamba ni nini? Hebu naomba unifafanulie labda sielewi
Ila hakuna ushahidi unao onyesha kuwa anakulaga cha Arusha.Koboko mibangi
Duh.....hiyo wanaita invisibleMkuu kondoo pia akigongwa lazima anyooshe miguu.
Honey badger tangu anazurika na sumu ya nyoka????Honey badger akikutana nakoboko aliekomaa panakua hapotoshi anaweza kumwua ila nayey hachukuia round
Mdogo wangu alishawahi kuumwa na huyu nyoka lakini alipona tulitumia dawa za asili na nyoka tuliuaView attachment 766068
Kifutu akikung'ata huyu unaanza kuoza,lakini kwa Koboko huyu anakuwa wa Dar.
Kama hakufa au kupata ulemavu wa kudumu shukuru mungu.Mdogo wangu alishawahi kuumwa na huyu nyoka lakini alipona tulitumia dawa za asili na nyoka tuliua