Usiogope njoo tu, black mamba ni mpole sana na hapendi mapambano kama utamwacha aende zake kwa amani, ila ukiamua kumkabili, ni lazima ujizatiti kwani mmoja lazima afe (wewe au nyoka), na mara kwa mara wa kufa ni mtu. Formula ya huku kwetu ni kuwa, kama mko chini ya idadi ya watu sita wenye afya timamu, na walio na fimno na mawe, musithubutu kumchokoza, atawaua tu, angalau mkiwa wengi mwaweza kumchanganya akili akakosa malengo!!
View attachment 190765
Raha ya hawa green and black Mambas ni watamu sana kama wale dagaa weupe ivi wa Kigoma wakikaangwa. Ukimla nyoka na ugali au umtafune huku wanywa uji wa ulezi, looh, mbona pilau ya Pwani utaisahau milele!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Jamani unaweza kuona ni ajabu lakini hawa wadudu watamu. Kuna jamaa zangu maarufu sana kwa kuwatega na kisha huondoa ile sumu then anakaushwa kwa mafuta akiwa amekatwa vipande vipande. Usipojua utadhani ni samaki na wana radha ya kipekee. Watam kweli.Sasa mkuu unawindaje hicho kitoweo chako?
Usiogope njoo tu, black mamba ni mpole sana na hapendi mapambano kama utamwacha aende zake kwa amani, ila ukiamua kumkabili, ni lazima ujizatiti kwani mmoja lazima afe (wewe au nyoka), na mara kwa mara wa kufa ni mtu. Formula ya huku kwetu ni kuwa, kama mko chini ya idadi ya watu sita wenye afya timamu, na walio na fimno na mawe, musithubutu kumchokoza, atawaua tu, angalau mkiwa wengi mwaweza kumchanganya akili akakosa malengo!!
View attachment 190765
Jamani unaweza kuona ni ajabu lakini hawa wadudu watamu. Kuna jamaa zangu maarufu sana kwa kuwatega na kisha huondoa ile sumu then anakaushwa kwa mafuta akiwa amekatwa vipande vipande. Usipojua utadhani ni samaki na wana radha ya kipekee. Watam kweli.
Kwa hiyo just unaacha mtego wanakopendelea then unatembelea mara kadhaa ila kwa tahadhari ukimkuta basi ndo siku inakwenda. Kuna siku waweza pata watatu au watano au usipate kabisa.
Mbona porini mtu waweza kula mbichi hasa nyakati za mvua? Ila mpaka chakula kikuishie.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Nikiwa dodoma, nilikua natembea sehemu kavu tu, na jua kali, baada mwendo kidogo, kumbe pembeni nilikua naongozana na nyoka, ni wa kijani hivi, mrefu! Ila hakua na habari kabisa na mimi, akawa anatafuta vishimo vya kujificha. Nilishangaa kwa maana, kwa ule ukaribu angeweza nifanya lolote..
kumbe nawao chamtoto tu hebu ona anavyopewa kibano hapa
https://www.youtube.com/watch?v=trX-9XKto70&feature=youtube_gdata_player
Huyo mnyama ni kiboko mkuu hata nyoka awe vipi atauliwa tu, wana tekniki kali sana.
Hivi nyoka nao hawana akili kama tembo kwamba wakiona mwenzao kakamatwa hawawezi kukufanyia kitu mbaya mwindaji?
Hakuna nyoka namwogopa kama black mamba ... Niliwahi shuhudia aking'ata daktari mmoja na kumuua chini ya nusu saa... Usiombe kukutana nae