Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Duh Mama Mdogo unatisha naendelea kulamba darsa la Nyoka.
Usiogope njoo tu, black mamba ni mpole sana na hapendi mapambano kama utamwacha aende zake kwa amani, ila ukiamua kumkabili, ni lazima ujizatiti kwani mmoja lazima afe (wewe au nyoka), na mara kwa mara wa kufa ni mtu. Formula ya huku kwetu ni kuwa, kama mko chini ya idadi ya watu sita wenye afya timamu, na walio na fimno na mawe, musithubutu kumchokoza, atawaua tu, angalau mkiwa wengi mwaweza kumchanganya akili akakosa malengo!!
View attachment 190765
Last edited by a moderator: