Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

duuuuhhh""aisee...sipendi kuuwa nyoka "" lakini hapa nimejikuta naanza kufikiria upya kuhusu huruma yangu kwao
Mkuu ukizijua tabia za hawa viumbe huwezi kuwaua labda kama una watoto wadogo ila kitu cha busara ni kuwaacha waendelee waendelee na hamsini zao wakapambane na hali zao,ukijifanya kuwafatafata ndio yatakapo kukuta.
 
Uzuri wa sumu ya Koboko ni neurotoxin na Cardiotoxin inashambulia mfumo wa fahamu na kuuzimisha moyo ila Puff adder ni habari nyingine sumu yake inaenda kugandisha damu na kuozesha nyama.
aisee...nimeona yule puff adder kweli hafai...yaani mzembe mzembe hivi kumbe ndio madhara yake Yale...ishiiiiii
 
Hahahaha ni Secretary Bird nimejaribu kuangalia anaitwaje Google eti KATIBU yaani hivi huyu mkalimani nani alimruhusu?
Mwenye kumjua jina lake atatusaidia
haaahaa katibu ndio "" wewe huoni anavyotoa dose
 
Usione kazubaa zubaa ukapeleka mkono! Wthin striking range hakukosi.
kwahizo picha nilizoziona hapo hata kumsogelea sitaki....
hivi na hawanyoka wakijani ambao huwa tunakutana nao Mara nyingi lakini hawana time na mtu ndio wanaitwaje !??
 
Kama una watoto wadogo ukimuona kifutu puff adder ni bora kumuua tu kwa sababu watoto hupenda kuwashika vifutu huyu mtoto ameng'atwa kwenye mkono.
Swaziland-Ngwenya.png
 
Stage ya pili ya baada ya kung'atwa na Puff adder malengelenge uvimbe utafuatia halafu kuoza.
2546-14162-1-PB.jpeg
 
Kuna Viper mmoja ndio ni hatari hatari kweli kweli fangs zake zinakaribia inch 2 huyu akikung'ata inabidi ufe tu kwani ukiishi utaishi kwa mateso makubwa.

Gaboon adder ni habari nyingine.
 
Back
Top Bottom