Mkuu ukizijua tabia za hawa viumbe huwezi kuwaua labda kama una watoto wadogo ila kitu cha busara ni kuwaacha waendelee waendelee na hamsini zao wakapambane na hali zao,ukijifanya kuwafatafata ndio yatakapo kukuta.duuuuhhh""aisee...sipendi kuuwa nyoka "" lakini hapa nimejikuta naanza kufikiria upya kuhusu huruma yangu kwao
aisee...nimeona yule puff adder kweli hafai...yaani mzembe mzembe hivi kumbe ndio madhara yake Yale...ishiiiiiiUzuri wa sumu ya Koboko ni neurotoxin na Cardiotoxin inashambulia mfumo wa fahamu na kuuzimisha moyo ila Puff adder ni habari nyingine sumu yake inaenda kugandisha damu na kuozesha nyama.
haaahhaaa sasa hapo atapona mtu !?Kuna tetesi kuwa sumu ya Koboko ni dawa ya UKIMWI na saratani.
haaahaa katibu ndio "" wewe huoni anavyotoa doseHahahaha ni Secretary Bird nimejaribu kuangalia anaitwaje Google eti KATIBU yaani hivi huyu mkalimani nani alimruhusu?
Mwenye kumjua jina lake atatusaidia
Usione kazubaa zubaa ukapeleka mkono! Wthin striking range hakukosi.aisee...nimeona yule puff adder kweli hafai...yaani mzembe mzembe hivi kumbe ndio madhara yake Yale...ishiiiiii
kwahizo picha nilizoziona hapo hata kumsogelea sitaki....Usione kazubaa zubaa ukapeleka mkono! Wthin striking range hakukosi.
Angalia hao wazungu
Kuna ukweli fulani kwa sababu ya sumu yake ina uzimisha moyo wataalam wanasema wanaweza tengenezea dawa za magonjwa ya moyo.haaahhaaa sasa hapo atapona mtu !?
ishiiiiiiiiii""aiseee mimi nikimkamata nitampika na kumtafuna .....Kama una watoto wadogo ukimuona kifutu puff adder ni bora kumuua tu kwa sababu watoto hupenda kuwashika vifutu huyu mtoto ameng'atwa kwenye mkono.View attachment 767745
Vifutu ni hatari sana hasa kama kuna watotoishiiiiiiiiii""aiseee mimi nikimkamata nitampika na kumtafuna .....
Umeamua kutuuwa haraka harakaKuna tetesi kuwa sumu ya Koboko ni dawa ya UKIMWI na saratani.
Hahahaha labda aiseehaaahaa katibu ndio "" wewe huoni anavyotoa dose
aaaghhhh ...daahhh una moyo picha zina sisimua mnoo hzo aiseeeVifutu ni hatari sana hasa kama kuna watoto
View attachment 767759
Uzuri wa sumu ya Koboko isipokuuwa haikuwaachi na kilema kama Puff adderaaaghhhh ...daahhh una moyo picha zina sisimua mnoo hzo aiseee
Miguu yake ya kazi umeiona mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?hahaa anatoa kichapo huyo
Uzuri wa sumu ya Koboko isipokuuwa haikuwlachi na kilema kama Puff adder