Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

DUuu nomaa na je wenzetu wa america kusini nao kuna anaconda ni nyoka wakubwa sana kwenye misitu ya amazon
 
Kwenye picha hii kuna nyoka wawili Gaboon adder na Puff adder angalia saizi ya Gaboon alivyo mzidi mwenzake
 

Angalia hizo Fangs akikung'ata huyu anakudunga sumu ambayo inafanana na ya Puff adder lakini nyiingi.
 
Tatizo la Koboko tofauti na nyoka wengine ambao ni mpaka achokozwe au ashtuliwe, yeye anagonga tu yeyote atakayekatiza kwenye himaya yake. Wana tabia ya kumiliki himaya ambapo kiumbe chochote narudia kiumbe chochote kikikatiza kwenye himaya lazima akishambulie.

Ni kweli kwetu Tabora huyu mdudu anasumbua sana, wasukuma wanaingia loss ya ng'ombe mpaka utawaonea huruma. Lakini siku za hivi karibuni naona matukio ya Koboko yamepungua sana nahisi wanakaribia kupotea kwenye uso wa dunia.
 
Watu wengi hujidanganya kuwa huyu nyoka huwa hana sumu,lakini sio kweli huyu nyoka Boomslang ana sumu kali lakini yenye kuua polepole.kama akikun'ata asubuhi hutosikia dalili zozote mpaka usiku ndio ukilala huamki.
 
Durban - A Camperdown man who was bitten by a Boomslang twice, about 10 days ago - after mistaking it for a bush snake - is at last showing signs of recovery and was able to get out of his hospital bed.
While he is still in ICU, Jacques Haarhoff was finally able to talk to his family and walk around after being in a critical condition since he was admitted to Grey’s Hospital last Saturday.
 
Tutakupoteza siku nyingine mkuu cheza na wengine sio koboko.
Nmeshawaua sana hawa wadudu, pia kuna siku nilitaka kumpoteza huyo mnayemwita koboko sema Bahati nzuri kwake alikimbia kabla sijaletewa fimbo
 
Watu wengi hujidanganya kuwa huyu nyoka huwa hana sumu,lakini sio kweli huyu nyoka Boomslang ana sumu kali lakini yenye kuua polepole.kama akikun'ata asubuhi hutosikia dalili zozote mpaka usiku ndio ukilala huamki.View attachment 767836
Huyu nimeshawahi kukutana nae juu ya muembe alikua na urefu wa mita mbili.........asee acha kabisa nlikua kileleni nafuata maembe kumbe yalipo maembe ndipo alipo yeye ....ila uzuri alianza kuniona yeye sasa wakati me naweka mkono kwenye embe bwana we natupa jicho vizuri kajaa yeye nilishuka kwa speed ya jet halafu ye wala hakua na habari na Mimi alitulia tu.........nlivofika chini nikaita wanaume wakaua
 
Huyu Boomslang mara nyingi huwa anang'ata anaposhikwa kwa sababu meno yake yako kwa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…