Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Huyu kijana hakujua kama kagongwa alidhani koboko kamchubua kidogo tu.baada ya muda kidogo akaanza kulalamika haoni vizuri na akaanguka na kufa.
Sahihi kabisa nadhani angekua amekulia Tabora au kwingineko kwenye Koboko wengi angeshasema nimeng'atwa, sasa UK wanaona nyoka kwa TV,,, huyo nyoka hatari sana asee.
 
Nyoka wengi hua wana aibu na huwa wa kwanza kuretreat unless wawe cornered, koboko hajui kuretreat, ana accuracy, speed na bado yeye ndiyo ataanzisha ugomvi.

Iwe iwavyo ninachojua hachomoki mbele ya honey badger.

Kwa CHUI pia hagusi...bora nikutane na mnyama wa aina yeyote hapa ulimwenguni ila sio Chui/Jaguar
 
Kipindi hicho ww hukua mwanaume eeeeh?
 
Ukisoma hiyo article utagundua kua huyo mwanafunzi kama angesema mapema pengine asingepoteza maisha kwani angelipata tiba mapema.
Tokea kipndi anang'atwa mpaka kifo chake ni ndani ya lisaa limoja heart attack ndio iliyomalizia.
 
Nilimsikia mkamata nyoka anasema Black Mamba kabla hajakung'ata anakupa tahadhari!! Sasa maelezo ya humu yako mchanganyiko sana.

Wengine wanasema Koboko ni mshari hata kama hujamchokoza atakufata akung'ate.
 
Uchambuzi mzuri sana
 
Sio Green Mamba Eastern green mamba - Wikipedia
 
Koboko ni jamii ya cobra
 
Hao hawamjui simba wala chui. Unaweza kwa unafuu kupambana na koboko na ukamuua hata kwa jiwe au fimbo

Koboko ni hatari mno katika nyoka. Ila kwa simba, chui or jaguar hafui dafu...watamvunja vunja mpaka bas.
 
Koboko ni hatari mno katika nyoka. Ila kwa simba, chui or jaguar hafui dafu...watamvunja vunja mpaka bas.
Mkuu Simba naturaly ni muoga wa nyoka kuliko sisi wanadamu.nilishuhudia video moja swila alimgonga Simba na watoto wake watatu,watoto ni pale pale lakini mama Simba aliteseka siku mbili mate yakimwagika..hatari sana.
 
Koboko ni hatari mno katika nyoka. Ila kwa simba, chui or jaguar hafui dafu...watamvunja vunja mpaka bas.
Atakae vunjwa ni nani hapo
Koboko ni hatari sana halafu isitoshe yeye anatambaa na wakati mwingine ananyanyua mwili wake kwa theluthi.
Yeye ni kugonga tu nilishuhudia kangonga ng'ombe haikuchukuwa mda povu na kunya hapo hapo halafu miguu ikanyooka

Hatuwezi kufananisha ugomvi wa simba au chui kwa nyoka maana mshindi always ni nyoka
 
Mkuu Simba naturaly ni muoga wa nyoka kuliko sisi wanadamu.nilishuhudia video moja swila alimgonga Simba na watoto wake watatu,watoto ni pale pale lakini mama Simba aliteseka siku mbili mate yakimwagika..hatari sana.

Duhh! Hatari sana
 
Duhh! Hatari sana
Kuna jamaa aling'atwa na Koboko kwa bahati nzuri alipona wakati yuko hospitali anatibiwa na shots za anti venom alikuwa anasikia kila kitu hata maongezi ya watu alikuwa anawaelewa lakini kila akijaribu kufungua macho anashindwa baada ya siku nne ndio kufungua macho.

Sumu ya Koboko ikishakuingia kwanza unaparalaiz halafu ndiio inasimamisha moyo.
 
Mkuu Simba naturaly ni muoga wa nyoka kuliko sisi wanadamu.nilishuhudia video moja swila alimgonga Simba na watoto wake watatu,watoto ni pale pale lakini mama Simba aliteseka siku mbili mate yakimwagika..hatari sana.
Aisee niliiona hiyo clip
 
Duhh! Hatari sana
Kuna kipindi nilikuwa na marehemu Chapa akaniambia nimfuate kuwinda kwa sababu nilikuwa bize ikabidi aende ibemba Mbasi mimi nikaelekea Mpanda Ibemba Mpasi ndio kuna Koboko waliokomaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…