Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Yaani ileeeeeeeee paaaaap unafika home kitu unakiona nacho ndio kinashuka chini ya gari sipati picha mbio utakazoziacha hata Usain Bolt atashangaa
Utaenda kupata lawama mtaani, maaana umewapelekea hekaheka
 
Angalia hiyo video halafu jifunze kufanya utafiti kwanza kabla ya kuanza ubishi.
Hapo presenter anasema mongoose anamwonya black mamba asije kwenye himaya yake na meseji imemfikia .
angalia video nyingi utakuta mongoose Ana win
 
Bora ukutane na wasiojulikana kuliko huyu kwanza yeye good morning wala good afternoon hajui yeye ni goodbye tu
Katika ulimwengu wa nyoka huyu anaongoza
Ana mbio za kasi na akikuwa anafika mpaka 14ft kwa urefu na kuuwa yeye ni kama alshabab vile
Akiamka asubuhi anapanda mti kutafuta afungue hicho kinywa wapi
Kuna kundi la Nyati wakiwa malishoni alitokea huyu jamaa yaani kuwaonesha tu kinywa chake kilichofanana na jeneza yaani hao Nyati walitoka mbio za ajabu na wengine kupamiana hovyo na kusababisha na mpaka faru kukimbia
Najiuliza kumbe hata wanyama wanajua jeneza ni kuzimu
 
Kuna kitu ambacho nimekiona sana katika fuatilia yangu kuhusu huyu jamaa wazungu huwa kwa kiasi fulani huwa wanapotosha.nadhani kwa sababu huyu mnyama waafrika huwa wanamhusudu sana.
 
Aisee usije thubutu tena kujaribu kumgonga huwa wanarukia gari unaenda nae utakaposhuka anawewe.ukienda mbugani mfano serengeti unaambiwa kabisa.
 
Kuna kitu ambacho nimekiona sana katika fuatilia yangu kuhusu huyu jamaa wazungu huwa kwa kiasi fulani huwa wanapotosha.nadhani kwa sababu huyu mnyama waafrika huwa wanamhusudu sana.
Labda inawezekana maana kuna jamaa walikuwa ni wakata magogo mambas walikuwa wanaishi maeneo hayo hayo tena wengi tu ila walikuwa wanaishi kwa amani tu kila mmoja na hamsini zake
Nilikuwa nawajua hao jamaa kwa ukaribu sana na kazi zao ila walikuwa hawajali kabisa wanalala na kuamka porini ambapo wanaonana kila siku
Yaani story zinachanganya ingawa ni mkorofi
 
Duh!! Kumbe nilikuwa simfahamu hata kidogo huyu mwamba!!

Huyu jamaa ndo yule anaitwa Cobra au ni jomba wawili tofauti?!
Hapana Cobra ni Swila yule anatanua shingo na kutema mate
Ila huyu ni tofauti yeye hatemi mate ila ana sumu mbaya sana ambayo inauwa kwa dkk 30 tu kama hawajakuwahi
 
Unasema kweli
Halafu na jaribio umelifanya kabisaaa
Sasa itabidi tuwe na wanawake kila tunapoenda kuwinda au shambani ukiona tu koboko shikaaaa
 
Duh!! Kumbe nilikuwa simfahamu hata kidogo huyu mwamba!!

Huyu jamaa ndo yule anaitwa Cobra au ni jomba wawili tofauti?!
Ni tofauti na Cobra ila sifa zao kama zinafanana ila huyu ni hatari sana...Cobra hawapatikani kivile nchi za Africa
 
Hiyo kitu, sumu yake Iko kama mafuta ya taa. Akikugonga , sumu inasambaa sehemu kubwa. Huyo, wenfine humwita Black Mamba. Anatofautiana kidogo sana na rattle snake.
 
Hapana Cobra ni Swila yule anatanua shingo na kutema mate
Ila huyu ni tofauti yeye hatemi mate ila ana sumu mbaya sana ambayo inauwa kwa dkk 30 tu kama hawajakuwahi
Dah!! Basi miaka yote hii nilikuwa nadhani Koboko ndo Cobra... halafu nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunamuita Koboko Mate... kumbe tulikuwa tunalishana matango pori!
 
Dah!! Basi miaka yote hii nilikuwa nadhani Koboko ndo Cobra... halafu nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunamuita Koboko Mate... kumbe tulikuwa tunalishana matango pori!
Hahahahaha Walahi nimecheka sana eti koboko mate
But it make sense in a way kwa sababu wote ni wabaya
 
Kuna kisa kimoja cha mzungu na koboko huko Botswana ninakitafuta ilinikthibitishe halafu nikilete hapa.
Sawa tunasubiri uwe na amani
Yaani hadi raha
I love snakes lakini huyu wamenitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…