Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Njooni kwetu mpate dawa za nyoka uyo koboko unamkamata na mkono
Ni kweli mkuu, Mungu kaumba hao viumbe hatari, lakini kwa Kuwa anatupenda sana, ametupa maarifa jinsi gani ya kukabiliana n'a viumbe hao bila kuzuriana.kuna kipindi fulani Nilikuwa Sumawanga kikazi, sehemu inaitwa Namasi n'a Sopa . Sehemu hao viumbe wako wengi muno, Ila wana dawa zao ukiitembea nayo umeiweka mfukoni mwaka, hao viumbe wanakutambua haraka na kukukimbia. Hata kama ni Koboko naye anatimua mbio, au akizubaa, Umemkamata mzima mzima. Kama kuna ndugu zangu hapa jukwaani tokea pande hizo, Sopa, Kasitu, Namasi, Kaengesa, mkunda n'a Kalambazite /Ikozi wanaweza thibitusha ninachoongea hapa.
 
Kuna viumbe wa ku study lakini sio hawa washenzi aseee
Huko South afrika wakati wa utawala wa makaburu walikua wanachukua mayai yake yakishatotolewa wanawafuga kidogo halafu usiku wanaenda kuwaachia kwenye maeneo ya weusi cha ajabu wale koboko walikuwa ni wapole mpaka leo koboko ni wengi kwenye miji yao.
 
Kuna haja ya kuwastudy viumbe hawa ili tuwajue vizuri kwa sababu wanahusudiwa dunia nzima.
Mbali na kuhusudiwa pia watalii wengi sana wametengeneza hela kwa clips hizo za wanyama wetu pia documentary zote ni wao ndio wanatengeneza na kuziuza kwa bei kubwa.
Tunaweza kufanya utafiti kama serikali ipo serious na mali zetu
Inakuwaje mzungu na camera yake anatengeneza hela kwetu na sisi tunambebea mizigo na kumchunga
 
Urjaram of Mangta village was entertaining guests at his house on Saturday night when he suddenly realised that his camel had been out in the heat all day with its legs tied.

He was attacked when he tried to untie the annoyed animal.

“The animal lifted him by the neck and threw him on to the ground, chewed the body and severed the head,” villager Thakara Ram said. Villagers revealed that the camel had attacked Urjaram in the past as well.

Areas in Rajasthan are witnessing some of the highest mercury levels in the country. Jawans patrolling the border with Pakistan, too, are facing a tough time dealing with camels in this heat.

Recently, a camel attempted to get a jawan off its back while rushing to the shade.
 
Kuna clip moja you tube nimetoka kuiona now, huyu koboko kaingia ndani ya kiota cha vifaranga ( lkn vikubwa kubwa tu ka kuku) vya ndege, ni mkubwa sana,nusu mwili kauingiza mle ndani maana kiota chenyewe kimetobolewa kwenye mti mkubwa, na nusu mwili kauacha kwenye mti kumbe anaviziwa na kile kimnyama kinafanana na paka hivyo hivyo ( huwa kinapenda kurukia vindege kama kama kipa anavyodaka mpira!

Basi huwezi amini kamkata ule mwili nusu kakimbia nao!

Koboko yuko humo kwenye vifaranga anahaha mdomo uko wazi! Vifaranga nao wamepagawa full kelele hata hawaelewi kilichomkuta huyo koboko....
 
Hahahaa..tuwekee hiyo clip nasi tufurahi
 
Koboko hata ukimkata vipande viwili anao uwezo wa kugonga kwa muda mrefu.
Hivi atakufa au atakua tena? Hadi nimeogopa!

Hajawagonga hao vifaranga, wana kelele na wamepagawa kinoma

Dizain kama anatafuta chocho ale kona!
 

Nimecheka sana
 
Kuna kisa kimoja cha Koboko alitaka kuAmbush gar lai wawindaji wenye silaha wakamtwanga risasi akakimbilia juu ya mti pamoja na kuwa karibu na kukatika na (Spinal Cord kukatika) alikaa kuanzia jioni mpaka asubuhi yake ndio akafa.
 
Babu yetu alituambia tukiwa wadogo kama mmoja wetu akiumwa na nyoka koboko huko tunakowinda digidigi na sungura kwa kutumia mbwa basi tusimlete nyumbani bali tuje mbio tutoe taarifa ili akatibiwe eneo lile lile la tukio. Pia alituonyesha baadhi ya majani ya kumsaidia wakati tiba kamili inaletwa eneo la tukio.

Sikuelewa mantiki yake, ila nimejua juzi juzi tu. Wazee wa zamani walikuwa makini mno.
 
Alikuwa na maana gani!??
 
kwetu mtu akikuchoka anakutumia koboko mwisho wa jeuri yako - ha ha ha

Kuna siku nikipenda nitamleta mmoja hapa mjini awe bodyguard wangu; maana kuna watu wanajifanya wajuaji sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…