DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Mkuu,Mkuu achana na maneno ya hapa huyo nyoka akigundua ameonwa anatafuta upenyo anakimbia mapema,akibananishwa ndio anakuwa balaa.
Koboko (black mamba) hana haya wala aibu.
Black mamba amekaa kwa ajili ya Shari.
Yaani akikuona tu, anadhani umemuwinda.
Kwahyo hujiwahi kukushambulia kabla hata hujastuka.
HUYO;
Anaetoa tahadhari ni Rattle snake
Huyu nyoka ni very Territorial, huchagua eneo lake maalum la kutulia&mawindo ambalo hataki kabisa bugudha wala kelele.
(anakitu kama kengele mkiani, akiutikisa unatoa sauti Kali)
Huyu ukimsogelea, anautikisa ili kukutahadharisha yuko kwenye himaya yake.
Nivema ukasepa HARAKA sana ili usimuharibie mawindo yake kwa hizo kelele zako.
Kwahyo, hata kama uko mita 20 au 50.
Ukiskia huo mlio, ni bora tu ufutike eneo lile mapema.
UKIZIDI KUNG'ANG'ANIA, ATAKUFATA NA KUKUGONGA HAPO HAPO ULIPO.