Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Mkuu achana na maneno ya hapa huyo nyoka akigundua ameonwa anatafuta upenyo anakimbia mapema,akibananishwa ndio anakuwa balaa.
Mkuu,
Koboko (black mamba) hana haya wala aibu.

Black mamba amekaa kwa ajili ya Shari.

Yaani akikuona tu, anadhani umemuwinda.

Kwahyo hujiwahi kukushambulia kabla hata hujastuka.

HUYO;
Anaetoa tahadhari ni Rattle snake

Huyu nyoka ni very Territorial, huchagua eneo lake maalum la kutulia&mawindo ambalo hataki kabisa bugudha wala kelele.

(anakitu kama kengele mkiani, akiutikisa unatoa sauti Kali)

Huyu ukimsogelea, anautikisa ili kukutahadharisha yuko kwenye himaya yake.

Nivema ukasepa HARAKA sana ili usimuharibie mawindo yake kwa hizo kelele zako.

Kwahyo, hata kama uko mita 20 au 50.
Ukiskia huo mlio, ni bora tu ufutike eneo lile mapema.

UKIZIDI KUNG'ANG'ANIA, ATAKUFATA NA KUKUGONGA HAPO HAPO ULIPO.
 
Unadhani mamba atashuka kama wewe unavyoshuka ghorofani? Yaani ni ile kushusha mguu wa kwanza tu tayari dose! Ukishusha mguu wa pili unapata tena, akishuka mwingine anapata pia. Jamaa halina muda wa mauzo, ni vita vita mura...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Niliyowahi kushuhudia ya nyoka huyu Chunya mbeya acha ninyamaze tu asije fika hapa nilipo!.
Alifunga kijiji kizima baada ya kukorofishwa na vijana wa kisukuma na wawili wali-rest in peace before hawajamuona dokta.
Nitakuja na story kamili nikipata muda jinsi kijiji kilivyopata shida siku 3 kumuwinda mpaka kumuua lkn ni simulizi mpaka leo toka mwaka 2011
Mkuu bado hujapata mda?
 
Ha ni maneno ya mtalii mmoja alivyoshuhudia Tai (Eagle) akigongwa na kufa alipojaribu kumfanya Koboko kuwa mlo wake.

"On safari you never really know what is going to happen or what you will come across. The poor eagle thought that the mamba would be an easy meal."
 
Ha ni maneno ya mtalii mmoja alivyoshuhudia Tai (Eagle) akigongwa na kufa alipojaribu kumfanya Koboko kuwa mlo wake.

"On safari you never really know what is going to happen or what you will come across. The poor eagle thought that the mamba would be an easy meal."
Lete video yake mkuu

Maana eagle nae mbwembwe nyingi
 
A dry bite is a bite by a venomous animal in which no venom is released. Dry snake bites are called "Venomous snake bite without envenoming". Dry bites can occur from all snakes, ..
How dry bites occurred then
Ina maana nyoka anakuwa amepungukiwa sumu au ameamua kuwa fair kidogo na kukutahadharisha au kukusamehe tu na kukujulisha kuwa "una bahati leo sina hasira"
 
Mkuu Tembo anakumbukumbu sana swali ni je Tembo anaweza kulipa kisasi au huwa mwepesi kusamehe.
Hahaha kuna kisa cha tembo kufunga safari mpaka kwenye nyumba ya mshkaji na kusepa naye porini
 
Back
Top Bottom