Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Kina mfipa 1 tabora anawaua sana na ni bwana mdogo tu, tulipokuwa wadogo niliwahi sikia story kuwa kama ukitaka muua nyoka mwanamke ashike matiti na mwanaume ashike magoti mwingine awe anampiga nyoka anakuwa hakimbii, anabiringita hapo hapo, niliwahi iona hii ukerewe nikiwa nalima na bibi na kweli nilimuua kifutu huku bibi akiwa ameshika matiti, huwa mpaka leo najiuliza wanaposhika hivyo kuna logic yoyote na inafanya kazi
Wengine wanasemaga ubua wa mtama ukimgusa basi hana uwezo tena
 
1. Poisons work their deadly magic through touch, ingestion, or inhalation, hizi ni kama hizi sumu za panya ukila unakufa.

2. Venoms are injected directly into a wound. Hii inaingizwa direct kwenye mishipa ya damu au kidonda.
Tafsiri ya neno Venom kiswahili
 
Hapo ndio wananichanganya mara wanasema ni dkk 30 miguu imenyooka.
Kuna mtaalam anasema baadhi ya nyoka wana uwezo wa kung'ata na bila kutoa Venom wanaita "dry bite" na pia wanaweza kutoa sumu kidogo.
 
Unajua kitu ambacho nimejifunza hapa JF, kwanza tunapeana tahadhali,ikiwemo ya kuwajua wadudu hatari na sign yao, kupitia uzi huu tumeweza kumfahamu vizur nyoka huyu na signal za kukuonya, hasa kwa wale wapenda kuuua nyoka. Kwamba unapokutana na signal hii basi ni jins gani ya kujenga utaratibu wa kumuepuka, maaana kuna watu akiona nyaka hata kalala lazima aokote mawe amtupie, mm nitakuwa mmoja wapo wa kuwapotezea kabisa nyoka
 
Anaconda ni mwenyeji wa Amerika ya kusini ila kuna kisa kimoja nataka nikiweke hapa.

Mnamo mwaka 1959 huko Katanga Drc mwanajeshi mmoja wa kibelgiji col Remy Van Lierden alikuwa akitoka katika doria zake aliliona joka kubwa sana.

Van Lierde alikua anaendesha chopa ya jeshi,alipigwa na butwaa ikabidi aishushe chopa kidogo ili aweze kulipiga picha joka lile.

Aliposhusha Chopa kidogo joka lile likajaribu kushambulia kwa bahati nzuri halikuifikia chopa

Joka hilo linafika urefu wa 50ft na kidogo.

Picha aliyopiga Van Lierden siku hiyo
giant-snake-in-congo-1959-dinosaur-living-fossils-titanoboa-extinct.png
 
Kisa cha Van Lierden

In 1959, Remy Van Lierden, as full Colonel, commanded the air base at Kamina in the Belgian Congo. In the Katanga region of the Democratic Republic of the Congo, returning from a mission by helicopter, he claimed to have saw a Giant Congo Snake emerging from a hole as he flew over the forests. He described the snake as being close to 50 feet in length, with a 2 foot wide head and 3 foot long jaws, earning its place among the largest snakes ever reported.

Colonel Remy Van Lierden described the snake as having a dark green and brown top and a white or light coloured underside.

Upon the discovery, he then turned around and made several passes over the snake at a lower altitude in order to allow another person on board to photograph the creature. Van Lierde claims that as he flew lower for a closer inspection, the snake rose up approximately 10 feet, giving the impression it would have attacked the helicopter if it had been within striking range. However, they left after the snake appeared to be in a striking position. It's believed to be a Titanoboa or maybe even a new species.
 
Kuna kitabu nilisoma ila sina kumbukumbu vzr ni kitabu gani kilikua kinamuelezea Ngamia kua ndio mnyama mwenye uwezo wa kutunza kumbukumbu muda mrefu kuliko mnyama yoyote.
Vipi kuhusu Tembo?
 
Sikumbuki km tembo alikua kwenye orodha ya ngapi, inawezekana ngamia akawa na kumbukumbu zaidi kuliko mimi maana sidhani km imefika hata 5yrs tokea nikisome lkn hata jina la kitabu nimelisahau.
Mkuu,
Tembo Wa Africa
(african elephant) ndio wenye kumbukumbu zaidi.

Nahsi anaweza kufuatia na dolphins.

Sina uhakika ila ntafatilia zaid
 
Back
Top Bottom