Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Sijaangalia.Samahani sijui ushaangalia kipindi cha snakes in the city ? Nat Geo ?
Mbona yule jamaa huwa anawashika black mamba kirahisi tu hata awe aggressive au wounded ?
Mnaposema Mamba huwa yeye anaanzisha tu vita vyovyote vile napata wakati mgumu kuwaelewa
Lakini soon utanitajia na watu ambao miili yao ni venom resistant.
Ishu ni hivi...
Anaconda akiona majani yanacheza cheza ataretreat, same kwa common krait, cobra, copperhead etc. Black mamba akiona hivyo atabaki ajue kuna nini au atanyanyuka na kufuata huo uchezaji.