Alikuwa na maana gani!??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna clip moja you tube nimetoka kuiona now, huyu koboko kaingia ndani ya kiota cha vifaranga ( lkn vikubwa kubwa tu ka kuku) vya ndege, ni mkubwa sana,nusu mwili kauingiza mle ndani maana kiota chenyewe kimetobolewa kwenye mti mkubwa, na nusu mwili kauacha kwenye mti kumbe anaviziwa na kile kimnyama kinafanana na paka hivyo hivyo ( huwa kinapenda kurukia vindege kama kama kipa anavyodaka mpira!
Basi huwezi amini kamkata ule mwili nusu kakimbia nao!
Koboko yuko humo kwenye vifaranga anahaha mdomo uko wazi! Vifaranga nao wamepagawa full kelele hata hawaelewi kilichomkuta huyo koboko....
Koboko hata umkate nusu, ataishi vizuri tuHivi atakufa au atakua tena? Hadi nimeogopa!
Hajawagonga hao vifaranga, wana kelele na wamepagawa kinoma
Dizain kama anatafuta chocho ale kona!
Ukigongwa kichwani mabegani kifuani hata ukijikausha tulii unapitilizia huko huko.Mkuu ukiumwa na Koboko usikimbie wala ku-move sababu circulation ya blood kadri inavyozidi ndiyo sumu inavyosambaa
Duu kwa hiyo utamwambiaje huyo kobokokwetu mtu akikuchoka anakutumia koboko mwisho wa jeuri yako - ha ha ha
Kuna siku nikipenda niamleta mmoja hapa mjini awe bodyguard wangu; maana kuna watu wanajifanya wajuaji sana.
Unadhani mamba atashuka kama wewe unavyoshuka ghorofani? Yaani ni ile kushusha mguu wa kwanza tu tayari dose! Ukishusha mguu wa pili unapata tena, akishuka mwingine anapata pia. Jamaa halina muda wa mauzo, ni vita vita mura...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuwa na amani dada, uzuri wa koboko huwa haishi town, au upo Ulyankhulu?Eee Mungu niepushe na hii dhahma ya huyu mnyama yani hapa kila saa nanyanyua miguu
Hapana.Koboko ni Koboko na Kifutu ni kifutu.Hivi koboko ndio anaitwa kifutu kwa jina lingine?
Anatofauti gani na nyoka wengine. Maana wengine wakipata jeraha hawana mechanism ya ku recover according to zoologyKoboko hata umkate nusu, ataishi vizuri tu
Na baada ya mda, ataota mwili mwingine mpya.
Sielewi tuna matatizo gani.
Mimi naona tunafeli kila mahali hata mawaziri wanaopewa kazi hawajui waanzie wapi
Imagine waziri anasema ametoa mchango kumpa Majuto really?
Wakati sheria zipo na mamlaka wanayo
Kuna sehemu zingine duniani kupiga picha tu sehemu unaweza kukamatwa na kupigwa faini au kusafirishwa kabisa.
Wanayajua ila wamefumbwa macho somehow
TutafikaInawezekana kabisa angalia Kenya kwa mfano Production team yote ni wakenya halafu ndio makampuni makubwa yananunulia hapo.
Hapana mkuu,Anatofauti gani na nyoka wengine. Maana wengine wakipata jeraha hawana mechanism ya ku recover according to zoology
Usije kujaribu tena kumkanyaga huyu nyoka ana sifa ya kukwepa speed yake inakisiwa ni 150 hadi 180 kwa saaNi balaa hicho kifaa kinaweza kuua watu mia in 5min acha tu,huku kwetu ushirombo ndo vipo,kuna siku nimekutana nacho kinavuka barabara ya vumbi,nikasimama nikarudi nyuma na corola yangu nikakipitia shaaaaaah kumbe sikukigonga kikanasa chini ya gari,bahati nzuri nilikua naenda mwendo mrefu,kufika lami nikaona kitu kimeanguka kwa nyuma dah nikashukuru sana,nikawaza ni vp ninheenda nacho home?
Hapana kifutu ni aina nyingine kabisaaHivi koboko ndio anaitwa kifutu kwa jina lingine?