Anatofauti gani na nyoka wengine. Maana wengine wakipata jeraha hawana mechanism ya ku recover according to zoology
Hapana mkuu,
Maybe amekatwa jirani sana na moyo
Ila kwa eneo LA mkia mpaka katikati ya tumbo hakuna madhara kabisa kwa nyoka wa kawaida kama kina black mamba.
Isipokua kwa nyoka aina ya chatu, hawa ukivuka mita chache tu baada ya mkia wanakufa.
Kwa sababu chatu wengi sehemu kubwa miili yao imeundwa kwa mishipa ya damu mingi&misuli mikubwa mingi mno.
Zoology kwa upande wa reptiles iko tofaut kidogo.
Reptiles wengi miili yao imeundwa na replaceable tissues nyingi mno.
Hizi tissues huundwa na cells znazokua kwa kasi sana.
Baada ya muda atapona tu, provided that atapata chakula&maji.
Pia tukumbuke kua,
black mamba Ndo nyoka mwenye kasi zaidi duniani.
Na hata kama ukimkata mkia,
bado ataweza kupata hapo energy kiasi ya kumove kutoka pale alipo.
Simple experiment:
Chukua Mjusi nenda kamkate mkia au au mguu.
kisha muhifadhi sehemu salama ukimpa chakula&maji kwa mwezi 1.
KISHA RETA MREJESHO MKUU.