Watu wanakuza mambo kuliko uhalisia wenyewe.
Koboko ni hatari ila siyo mkorofi kama swila.
1 koboko hawezi kushambulia kabla hajashambuliwa labda awe ameehuka.
2 koboko haonekani hovyo hovyo mpaka awe amekaribia kuehuka ndiyo hujitokeza Mara kwa Mara
3 koboko huchunga mchana kwa muda wa masaa machache tu na hurudi kulala usiku hatoki kabisa.
3 akikomaa anaweza kugonga hata ngombe mia kwa mpigo ila wanaoweza kufa kwa sumu yake hawazidi ishirini tu wengine watasurvive.
4 koboko hawezi kufight kama target yuko front mpaka uwe nyuma au side way ni rahisi kuattack ukiwa mbele hawezi kuruka mpaka akupe ubavu au mkia
5 koboko akiuma mbwa hupatwa na kichaa huanza kuingia hadi majumbani mwa watu na huwa hatari zaidi huanza kuwinda hata watu kwa kukaa karibu na barabara
6 mlio wake unasikika umbali hata wa kilomita mbili hasa wakati wa usiku maana mchana hawalii
7 watu wa tabora tunamtumia koboko kutabiri mvua wakilia wakati mvua ni dalili za mvua kunyesha kama ni ukame na kama mvua inayesha wakilia ni dalili ya mvua kukata kwa muda .
Tabora wapo wengi sana japo wameanza kupungua