Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Huyu ni black mamba kwa jina lingine ni mweusi wa kung'aa na jina hili la black ni kwa sababu ndani ya mdomo wake ni mweusi sana na cha ajabu akipanua mdomo utafikiri jeneza.
Koboko siyo mweusi ni wa rangi ya kijivu mweusi wa kung'aa ni Cobra, ila Koboko mdomoni ni mweusi kama ulivyoandika
 
Black-mamba-showing-aggression.jpg

Koboko ni nyoka hatari kabisa kuliko woote.
 
Watu wanakuza mambo kuliko uhalisia wenyewe.

Koboko ni hatari ila siyo mkorofi kama swila.
1 koboko hawezi kushambulia kabla hajashambuliwa labda awe ameehuka.
2 koboko haonekani hovyo hovyo mpaka awe amekaribia kuehuka ndiyo hujitokeza Mara kwa Mara
3 koboko huchunga mchana kwa muda wa masaa machache tu na hurudi kulala usiku hatoki kabisa.
3 akikomaa anaweza kugonga hata ngombe mia kwa mpigo ila wanaoweza kufa kwa sumu yake hawazidi ishirini tu wengine watasurvive.
4 koboko hawezi kufight kama target yuko front mpaka uwe nyuma au side way ni rahisi kuattack ukiwa mbele hawezi kuruka mpaka akupe ubavu au mkia
5 koboko akiuma mbwa hupatwa na kichaa huanza kuingia hadi majumbani mwa watu na huwa hatari zaidi huanza kuwinda hata watu kwa kukaa karibu na barabara
6 mlio wake unasikika umbali hata wa kilomita mbili hasa wakati wa usiku maana mchana hawalii
7 watu wa tabora tunamtumia koboko kutabiri mvua wakilia wakati mvua ni dalili za mvua kunyesha kama ni ukame na kama mvua inayesha wakilia ni dalili ya mvua kukata kwa muda .
Tabora wapo wengi sana japo wameanza kupungua
 
Ngamia kwa visasi hata ukijipodoa sana anamaindi halafu unakula bite!hahahaha
Mcle6h6.jpg
 
Ndio huyu!? Asee! A very simple snake!!!
Anaonekana mzuri mpaka rangi lakini hakuna kiumbe mkorofi kama huyu
Mbaya sana ukimuona geuza njia kabisa.
Kuna jamaa alimuona shambani kwake alipokuwa anajiandaa kuvuna
Alisamehe mavuno mpaka akaisidiwa na vijana
Yeye hakusogea kabisa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alafu ndo koboko km huyu mmeshatibuana.

Aaanze kukukimbiza, eti ujidanganye unapanda juu ya mti.
Aisee...

Mi na nyoka ni sawa na Mungu na shetani... sihitaji ushirikiano wake kabisaaaa...
 
Jamii ya nyoka mkubwa kabisa kuwahi kuishi katika dunia hii ni Titanaboa ambao inasemekana wa walishatoweka.
 
Back
Top Bottom