kongoro nazi
Member
- Mar 28, 2017
- 42
- 24
Koboko siyo mweusi ni wa rangi ya kijivu mweusi wa kung'aa ni Cobra, ila Koboko mdomoni ni mweusi kama ulivyoandikaHuyu ni black mamba kwa jina lingine ni mweusi wa kung'aa na jina hili la black ni kwa sababu ndani ya mdomo wake ni mweusi sana na cha ajabu akipanua mdomo utafikiri jeneza.