Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Huyi bwana. ..
 

Attachments

  • FB_IMG_15257231445218439.jpg
    65.2 KB · Views: 65
Yani gari impitie juu afu asife? Hapa tunazungumzia nyoka au shetani?

Huyu si wa kukutana naye, Ee Mungu naomba unisikie.
Achaa aiseee kuna dereva mmoja wa saratoga alikuwa ananipa story maeneo ya usoke alimuona koboko akikatiza barabarani kwa kuwa alikuwa yupo mwendo alimgonga basi yule koboko kwa hasira alianza kulikimbiza lile basii .

Karibia nusu saa anakwambia alikuwa anakwenda kwa speed kali anakwambia aligonga gia kweli kwelii na abiria ndani ya gali walijikuta wanaanza kuliaa wengine wakisali koboko asije kurukia gali au kudandia chasis kwenye gali ila kwa bahati nzuli dereva alikuwa yupo vizulii kukimbiza galii ndani ya nusu saa nzima mpka koboko akachemkaa sasa jiulizee basi kama yotong analikimbiza kama paka anayomkimbiza panyaa hiyo speed yake

Je wewe binadamuuuu una speed gani ya kumkimbiaaaa
 
Kuna jamaa nilimkuta kwenye kijiwe cha kahawa watu wamejaa wengine wamempa ofa ya mdeli mzima wa kahawa alikuwa anawahadisia kuwa koboko alimkimbiza kutokea mikumi hadi mataa ya Ubungo hahaha
Hahaa kijiwe kipii hichoo
 
Yani gari impitie juu afu asife? Hapa tunazungumzia nyoka au shetani?

Huyu si wa kukutana naye, Ee Mungu naomba unisikie.
Yaani kosa ukimkosa maana yuko sharp haswa na akifanikiwa kurukia kwa chini
Mziki wake ni huko utakapompeleka

Kuna watu wanaogopa hata kumtaja tu
 
Muwinda huwindwa, hapa tai alimchanganya koboko na nyoka mwingine akagongwa, koboko hakuachia mpaka chui alipotia timu chui nae akapiga kwenzi.
malizia story kwa hiyo huyo tai alikufa kwa suma ama alisepa?
 
Ungekuwa umepeleka balaa nyumban mkuu
 
Hakuna nyoka ambaye ana nywele halafu ana hoover kama helikopta,kwa hilo ninaweza kubisha hadi niwekewe ushahidi wa picha.
Ku 'hoover' sijaelewa ni kufanyaje, ila huyo koboko anaruka juu umbali mrefu, hata mita 40, sijajua kiingereza anaitwaje, sidhani kama ndio hiyo black mamba kwa sababu sio weusi, ningekugugea.(google). Huyo jamaa ana tunywele kichwani, sio twingi..
 
Ana binamu yake anapatikana milima ya usambara, ila yeye ana mapembe!!
 

Attachments

  • images.jpeg
    18 KB · Views: 66
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…