Mgugu
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,165
- 4,403
Babu huyu kiumbe hua hapendi kabisa kutukanwa, tena mbaya zaidi umemtukania mama yake [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Duh basi huyu koboko atakuwa kumamae sana. Siendi Tabora hata nikirogwa...
Jiandae tu leo jioni kumpokea mgeni wako, lazima atoke tabora aje daslam kukujulia hali.