Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Hizo ni figure of speech tu !una asilimia 99 ya kushinda vita dhidi ya nyoka wakati una less than 10% au no chance at all kushinda vita dhidi ya simba na chui
Wanachomaanisha wasemaji kama nimewaelewa Simba na Chui unaweza kukutana naye kama hana njaa au stress akakukaushia. Ila huyu mdudu ni kama asidi hana sababu. ukikutana naye piga sara ya mwisho haijalishi umemchokoza ana njaa hana njaa yeye anatamani awe pekeake pasiwe na kiumbe mwingine karibu yake. Ndio maana ya uhatari wake kuliko simba maana simba wengi hawawezi kupanda miti wala kuogelea ndani ya maji but huyu mdudu ni all weather panda mti ingia kwenye maji kimbia atakukamata tu. kama nimekosea mnirekebishe maana simfahamu wala sijawahi kumuona na Mungu aniepushe naye.
 

Myth: Some Snakes grow a beard as they get older. Fact: Snakes arereptiles and do not have any hair on their bodies let alone a beard. It is impossible for them to have beards for their bodies do not have any ability of growing hair.
 

Kweli ni nyoka hasiyependa kiumbe chochote kimsogelee
 

Huyu ni Viper ni vizuri tumtolee jina la Usambara Adder,ila ni jamii ya kama Gaboon adder.
 
Boomslang kwa kiswahili ni?
Nyoka flan wa kijan iliyokoza anafanana na yule green mamba ila yeye yuko cute fulani hivi ana metalicyellowish green au metalic green .
Ni mwembamba zaid kuliko mambas (green and black)haonekani agressive lakini anasumu mbaya inayokufanya u breed kila sehemu.Ni killer with pretty face!
 
Myth: Some Snakes grow a beard as they get older. Fact: Snakes arereptiles and do not have any hair on their bodies let alone a beard. It is impossible for them to have beards for their bodies do not have any ability of growing hair.
Mkuu umespesholaizi kwenye reptaili nini?!
 
Koboko wa kijani huyu hupatikana sana mikoa ya tabora anapenda sana kula panya ndiyo maana wanapenda kuingia majumbani mwa watu kusaka panya na mende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…