mamenrevy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 583
- 351
Wanachomaanisha wasemaji kama nimewaelewa Simba na Chui unaweza kukutana naye kama hana njaa au stress akakukaushia. Ila huyu mdudu ni kama asidi hana sababu. ukikutana naye piga sara ya mwisho haijalishi umemchokoza ana njaa hana njaa yeye anatamani awe pekeake pasiwe na kiumbe mwingine karibu yake. Ndio maana ya uhatari wake kuliko simba maana simba wengi hawawezi kupanda miti wala kuogelea ndani ya maji but huyu mdudu ni all weather panda mti ingia kwenye maji kimbia atakukamata tu. kama nimekosea mnirekebishe maana simfahamu wala sijawahi kumuona na Mungu aniepushe naye.Hizo ni figure of speech tu !una asilimia 99 ya kushinda vita dhidi ya nyoka wakati una less than 10% au no chance at all kushinda vita dhidi ya simba na chui