Josey j
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 466
- 908
Ni vitu viwili tofauti mkuu,Hivi koboko ndio anaitwa kifutu kwa jina lingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vitu viwili tofauti mkuu,Hivi koboko ndio anaitwa kifutu kwa jina lingine?
Hapana mkuu, kifutu ndio mnene na mfupi (puff adder)Hapana mkuu umechanganya kidogo, huyu koboko ni puff adder kama sijakosea huwa ni mfupi na mnene. Black mamba ni mrefu na mwembamba ndie huwa anaitwa kiss of death
Puff adder ye anang'ata mikono tuu? Inakuaje victims wengi ni mikononi!Puff adder bite.
View attachment 767704
Watu huwa wanamchanganya na Puff dady kwa hio huwa wanamsalimia kwa kumpa mkono.just jocking watu huwa wanajaribu kumchezea kwa kumshika.Puff adder ye anang'ata mikono tuu? Inakuaje victims wengi ni mikononi!
Ndugu huyu unaweza usimuone anafafana namchana hua anapambana nangamiaNyoka anaye gonga watu wengi huko kwenu ni Sidewinder adder huyu ni hatari sana
View attachment 770422 View attachment 770424
Ukikaa nchale ukisimama nchaleni nyoka mwenye spidi kuliko wote means ukikutana nae ukijaribu kumkimbia ni kaz bure atakudaka tu
ana sumu kali akikugonga basi dk chache tu wasifu wako unabadilika unakua marehemu
ni mtemi ukimtishia umekwisha unaambiwa ukikutana nae unatakiwa usimame tu ukikimbia umekwisha na ukimtishia sijui fimbo ndo kabsa coz yuko fasta atakujeruhi kabla hujamgusa utarudi kwenye aya ya pili hapo utakufa fasta tu

Tai wanajifanyaga wahuni sana dadekView attachment 770748
Tai huwa anajifanya kichaa,kwa koboko huwa anatulia mwenyewe kama huyu keshagongwa halafu amewekwa chini ya ulinzi mpaka afe.
Kuna kitu inaitwa Anaphylactic Shock inaweza kumtokea na akafa mara moja.Kuna watu wana majaribu
Koboko sio msosi wa bure bure.Tai wanajifanyaga wahuni sana dadek
Babu yetu alituambia tukiwa wadogo kama mmoja wetu akiumwa na nyoka koboko huko tunakowinda digidigi na sungura kwa kutumia mbwa basi tusimlete nyumbani bali tuje mbio tutoe taarifa ili akatibiwe eneo lile lile la tukio. Pia alituonyesha baadhi ya majani ya kumsaidia wakati tiba kamili inaletwa eneo la tukio.
Sikuelewa mantiki yake, ila nimejua juzi juzi tu. Wazee wa zamani walikuwa makini mno.
Kisayansi mtu akiumwa na nyoka aki move ibaongeza mjongeo wa sumu, kuna vitu vingi vya jadi vina mantiki ila tu vinakosa maelezo ya kisayansi.Alikuwa na maana gani!??
Eti eeKuna kitu inaitwa Anaphylactic Shock inaweza kumtokea na akafa mara moja.
Hapana, kifutu ni huyu hapa:Hivi koboko ndio anaitwa kifutu kwa jina lingine?