Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
imhotep kanibishia kweli yani..Kweli...
Kile kichwani ni kama kile cha jogoo..na anatoa sauti kama jogoo akiwika..hagongi sehemu ingine zaidi ya kichwani..na ana uwezo mkubwa wa kuruka sehemu kubwa sana
Mzembe sana, wakulima wakimkuta shambani wanamgeuza geuza na kucheka naye kwa madai kuwa analeta mavuno mengi. Na wafanye hivyo kwa black mamba waone kitakachowakutaPuff ader mzembe?
NdiyeKoboko ndiyo black mamba!
Mzembee sanaa tena Sanaaa yani mzitoooo kweli kweli...!! Black mamba habari nyingnee ilee..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nyoka anakichaa yulee...Mzembe sana, wakulima wakimkuta shambani wanamgeuza geuza na kucheka naye kwa madai kuwa analeta mavuno mengi. Na wafanye hivyo kwa black mamba waone kitakachowakuta
Si kweli, honey badger anakimbiza nyoka yeyote, sema tu huyo koboko kama amekomaa akianza kumla hupoteza fahamu kwa sababu ya sumu kali iliyopo kichwani mwa nyokaHoney badger akikutana nakoboko aliekomaa panakua hapotoshi anaweza kumwua ila nayey hachukuia round
Duh basi huko ndo wapo kibaoNipo Unyampumi singida masharik ndg yangu
Huenda humjui Koboko mkuuMbona siyo kweli chief.
Kwa sababu koboko siyo miongoni mwa most venomous snakes na hana fatalities kubwa ukimlinganisha na puff ader.
Huenda hunijui mimi mkuuHuenda humjui Koboko mkuu
MIMI NI BWANA SHAMBA NIPO URAMBO, NILIFUNDISHWA NA MSUKUMA MMOJA KUWA TABIA YA NYOKA HUYU NI MPOLE SANA ANAKUWA MKALI TU PALE ANAPOCHOKOZA, PILI MUDA WAKUTOKA SHIMONI NKWAKE NI SAA 4 HAD SA5 NA ANAPOPITAGA NDIPO PALEPALE HANA TABIA YA KU BADILI BADILI NJIA KWA HIYO ILI KUMUEPUKA UNATAKIWA KUKARIIRI MUDA WA SHUGHURI ZAKE, NA UKITAKA KUJUA MAHALI ALIPO HUWA KUNA AINA FULANI YA NDEGE KWA WALE WAWINDAJI WA NDEGE KWA MANATI WA ZAMANI ANAITWA MKONKOTOLO ,KUNA AINA YA MLIO WANAUTOA KUASHIRIA HUYO JAMAA YUPO KARIBU NA HII NI BAADA YA MIMI KUKUTANA NAE MARA KWA MARA KWENYE MASHAMBA YA TUMBAKU NA KWENYE MABANI NA KWENYE MASHAMBA YA GANJA NA ANAWEZA KULILINDA HATA SHAMBA KA KUNA MTU ANATAKA KUKUIBIA HUWA ANAMKARIRI MWENYE SHAMBA HATA WANAOFANYA KAZI KWENYE SHAMBA HILO.Kuna sehemu nipo huku mkoani Tabora sehemu nilikuwa nimekaa nikasikia watu wakimsimulia nyoka aina ya koboko ambaye inasemekana anapatikana Tabora ,Shinyanga,Singida na Kigoma.
Kuna mtu mmoja katika mazungumzo yake alikuwa akisema ni bora ukutane na simba au chui unaweza ukapona kuliko koboko. Nilipojaribu kumuuliza alisema hayupo tayari kumuongelea kiundani wala kumtaja kwasababu ukiwa ndani ya mkoa wa Tabora au Shinyanga ni marufuku kumtaja huyu nyoka jinsi alivyoniambia.
Sasa kwa wale wanaomfahamu hebu tuelezeeeni kwanini koboko anaogopeka kuliko simba au chui?
-----
Pia soma...
Mkonkotoro umenikumbusha mambo adimu sana yaani sijasikia hili neno miaka zaidi ya 20 asanteMIMI NI BWANA SHAMBA NIPO URAMBO, NILIFUNDISHWA NA MSUKUMA MMOJA KUWA TABIA YA NYOKA HUYU NI MPOLE SANA ANAKUWA MKALI TU PALE ANAPOCHOKOZA, PILI MUDA WAKUTOKA SHIMONI NKWAKE NI SAA 4 HAD SA5 NA ANAPOPITAGA NDIPO PALEPALE HANA TABIA YA KU BADILI BADILI NJIA KWA HIYO ILI KUMUEPUKA UNATAKIWA KUKARIIRI MUDA WA SHUGHURI ZAKE, NA UKITAKA KUJUA MAHALI ALIPO HUWA KUNA AINA FULANI YA NDEGE KWA WALE WAWINDAJI WA NDEGE KWA MANATI WA ZAMANI ANAITWA MKONKOTOLO ,KUNA AINA YA MLIO WANAUTOA KUASHIRIA HUYO JAMAA YUPO KARIBU NA HII NI BAADA YA MIMI KUKUTANA NAE MARA KWA MARA KWENYE MASHAMBA YA TUMBAKU NA KWENYE MABANI NA KWENYE MASHAMBA YA GANJA NA ANAWEZA KULILINDA HATA SHAMBA KA KUNA MTU ANATAKA KUKUIBIA HUWA ANAMKARIRI MWENYE SHAMBA HATA WANAOFANYA KAZI KWENYE SHAMBA HILO.