Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Puff ader mzembe?
Mzembe sana, wakulima wakimkuta shambani wanamgeuza geuza na kucheka naye kwa madai kuwa analeta mavuno mengi. Na wafanye hivyo kwa black mamba waone kitakachowakuta
 
Mzembe sana, wakulima wakimkuta shambani wanamgeuza geuza na kucheka naye kwa madai kuwa analeta mavuno mengi. Na wafanye hivyo kwa black mamba waone kitakachowakuta
Mzembee sanaa tena Sanaaa yani mzitoooo kweli kweli...!! Black mamba habari nyingnee ilee..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nyoka anakichaa yulee...
 
Honey badger akikutana nakoboko aliekomaa panakua hapotoshi anaweza kumwua ila nayey hachukuia round
Si kweli, honey badger anakimbiza nyoka yeyote, sema tu huyo koboko kama amekomaa akianza kumla hupoteza fahamu kwa sababu ya sumu kali iliyopo kichwani mwa nyoka
 
Huyu nyoka anafanana na Swila sana, lakini wataalam wanasema siye, lakini anatema mate halafu ukimshambulia anajifanya amekufa.
Hemachatus-haemachatus-StuPorterRinkhals-1.jpg
 
Kuna sehemu nipo huku mkoani Tabora sehemu nilikuwa nimekaa nikasikia watu wakimsimulia nyoka aina ya koboko ambaye inasemekana anapatikana Tabora ,Shinyanga,Singida na Kigoma.

Kuna mtu mmoja katika mazungumzo yake alikuwa akisema ni bora ukutane na simba au chui unaweza ukapona kuliko koboko. Nilipojaribu kumuuliza alisema hayupo tayari kumuongelea kiundani wala kumtaja kwasababu ukiwa ndani ya mkoa wa Tabora au Shinyanga ni marufuku kumtaja huyu nyoka jinsi alivyoniambia.

Sasa kwa wale wanaomfahamu hebu tuelezeeeni kwanini koboko anaogopeka kuliko simba au chui?

-----

Pia soma...
MIMI NI BWANA SHAMBA NIPO URAMBO, NILIFUNDISHWA NA MSUKUMA MMOJA KUWA TABIA YA NYOKA HUYU NI MPOLE SANA ANAKUWA MKALI TU PALE ANAPOCHOKOZA, PILI MUDA WAKUTOKA SHIMONI NKWAKE NI SAA 4 HAD SA5 NA ANAPOPITAGA NDIPO PALEPALE HANA TABIA YA KU BADILI BADILI NJIA KWA HIYO ILI KUMUEPUKA UNATAKIWA KUKARIIRI MUDA WA SHUGHURI ZAKE, NA UKITAKA KUJUA MAHALI ALIPO HUWA KUNA AINA FULANI YA NDEGE KWA WALE WAWINDAJI WA NDEGE KWA MANATI WA ZAMANI ANAITWA MKONKOTOLO ,KUNA AINA YA MLIO WANAUTOA KUASHIRIA HUYO JAMAA YUPO KARIBU NA HII NI BAADA YA MIMI KUKUTANA NAE MARA KWA MARA KWENYE MASHAMBA YA TUMBAKU NA KWENYE MABANI NA KWENYE MASHAMBA YA GANJA NA ANAWEZA KULILINDA HATA SHAMBA KA KUNA MTU ANATAKA KUKUIBIA HUWA ANAMKARIRI MWENYE SHAMBA HATA WANAOFANYA KAZI KWENYE SHAMBA HILO.
 
Huyu Koboko aliziparamia fensi zenye umeme akapigwa shock na kufa.
IMG_9181-Large-520x400.jpg
 
MIMI NI BWANA SHAMBA NIPO URAMBO, NILIFUNDISHWA NA MSUKUMA MMOJA KUWA TABIA YA NYOKA HUYU NI MPOLE SANA ANAKUWA MKALI TU PALE ANAPOCHOKOZA, PILI MUDA WAKUTOKA SHIMONI NKWAKE NI SAA 4 HAD SA5 NA ANAPOPITAGA NDIPO PALEPALE HANA TABIA YA KU BADILI BADILI NJIA KWA HIYO ILI KUMUEPUKA UNATAKIWA KUKARIIRI MUDA WA SHUGHURI ZAKE, NA UKITAKA KUJUA MAHALI ALIPO HUWA KUNA AINA FULANI YA NDEGE KWA WALE WAWINDAJI WA NDEGE KWA MANATI WA ZAMANI ANAITWA MKONKOTOLO ,KUNA AINA YA MLIO WANAUTOA KUASHIRIA HUYO JAMAA YUPO KARIBU NA HII NI BAADA YA MIMI KUKUTANA NAE MARA KWA MARA KWENYE MASHAMBA YA TUMBAKU NA KWENYE MABANI NA KWENYE MASHAMBA YA GANJA NA ANAWEZA KULILINDA HATA SHAMBA KA KUNA MTU ANATAKA KUKUIBIA HUWA ANAMKARIRI MWENYE SHAMBA HATA WANAOFANYA KAZI KWENYE SHAMBA HILO.
Mkonkotoro umenikumbusha mambo adimu sana yaani sijasikia hili neno miaka zaidi ya 20 asante
Ila kweli huyu jamaa huwa anatoka baada ya umande kukauka na kuanza kutafuta riziki
 
Wanavijiji huko Asia wakiwa na furaha baada kupambana na kumshinda Sawaka huyu
Python_Agta.jpg
 
Ukorofi wa Koboko mara nyingi huhusishwa na uvutaji wa bangi, kwa hiyo sio ajabu watu kuitafuta bangi hiyo.
downloadfile-1.png
 
Swila ameshaonekana akimvizia Koboko na kumgonga Koboko alipokufa akamezwa Koboko mwenyewe alikuwa mdogo hili tukio lilionekana huko Msumbiji.
 
Kwa wale wanaosema Koboko ni mpole

I visited Ndumo Game Reserve between Christmas and New Year this year.

There is a lookout hide near the main gate. It is a great place to look across the reserve and into Mozambique. The hide is set amongst trees about 8 metres off the ground. It is accessed by the set of stairs. I entered the hide fist followed by my wife and 2 daughters.

I walked passed the first bench and then the movement on the floor attracted my attention. The snake was the length of the width of the hide, (2 m) I told my family to get out and I slowly started to move backwards towards the door. The snake started to move towards me, not away as I had expected. I must have been within 2 m of the grey snake. It then lifted it's head and opened it's mouth and it was black on the inside. I continued towards the door and it still moved towards me. When I got out I ran down the stairs towards the Landy.

When I told the camp rangers of the incident, they laughed as if to say, "We know it is there".

Needless to say, my family was not interested in going into another bird hide.
 
Back
Top Bottom